smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,106
good jack jitahidi muweke Mungu mbeleumenipa mwangaza sikuwa najua jins ya kukitambua kipaji changu ila kupitia haya maelezo umenisaidia
good jack jitahidi muweke Mungu mbeleumenipa mwangaza sikuwa najua jins ya kukitambua kipaji changu ila kupitia haya maelezo umenisaidia
Amen amen amen.good jack jitahidi muweke Mungu mbele
Ukiachana na mambo tuliyo bobea baada ya kufundishwa kila mtu anakipaji chake alicho zaliwa nacho, mwengine vipaji vyao wanavijua mwengine mpaka sasa hajui ana kipaji ngani
mm kipaji changu ni uchoraji nilijikuta najua kuchora tokea nikiwa mdogo sema sikukiendeleza saivi naona kinafifia fifia kidogo lakini bado kipo
Kama mnajua kipaji chako tuambie ni kipi unaweza ukampata mtu mnaoendanda
Kumbuka: kipaji sio ujuzi(skills) hata mtu anaejua kuandika code sana hicho sio kipaji alijifunza au labda amezaliwa anajua Java na c shap ndo kitakua kipaji.
Pia kama huna kipaji nakupa pole, au ulikua nacho kikapotea embu tuambie
Vyote alivyotaja hapo ninavyo.asa wewe una vipaji vingp lkn
Kama unagegedwa kama amber Ruth ni kipaji adimu sana
😂😂 spare my ribs kwa kweli.hongeraVyote alivyotaja hapo ninavyo.
Hehehehhehe.spare my ribs kwa kweli.hongera
Yeah! good yaani hapomwana mkuu baba, usiache ng'ang'nia, usidharau hiyo ni unique talent,wanazo wacahache.wote tuliosoma tulikariri sana tu then tukajifanya tumeelewa,mfano Daktari anakariri sana vitu kama mifupa ya mwanadamu,kwenye kiganja tu kuna mifupa kama 20 hivi, na ni majina ya marehemu wavumbuzi wazungu..asikudanganye mtu.eti unakariri tu kama kasuku never ever,kadri utakavyo practice uliyo kariri,ndo unaelewa zaidi ulichokariri mwanzoni.Nakupa mfano huu tulikariri sana vifungu vya Biblia wakati tuko wadogo hata maneno yenyewe hatukuyatilia maanani saana kama watu wazima walivokuwa wanayachukulia.lakini baadaye vile vifungu vilitusaida sana kujua neno la Mungu kwa marefu na mapana,ukubwani.ivo basi Practice makes perfect keep it up.you gonna see the way.Amen amen amen.
nina swali mkuu! uwezo mkubwa wa kukariri ni kipaji?
Mkuu ukipiga miti sasa si utakua na uchiziKupiga miti
Nimekuelewa vzr mkuu na nimeuliza hivyo sababu nikiwa mdg(under 10 yrs) nikiwa Sunday school tulipewa vifungu tofauti ili kuvikariri lkn pia kuichambua biblia ili kujiandaa na mashindano ngazi ya mkoa,nilifanya wonders lkn pia kila j2 tulikuwa tunapewa zab 1 kuikariri ili next sunday unaesema mbele ya wazazi,kwng ilikuwa tofaut kdg,niliweza kukariri zab 2 na kila mtu alinishangaa.Yeah! good yaani hapomwana mkuu baba, usiache ng'ang'nia, usidharau hiyo ni unique talent,wanazo wacahache.wote tuliosoma tulikariri sana tu then tukajifanya tumeelewa,mfano Daktari anakariri sana vitu kama mifupa ya mwanadamu,kwenye kiganja tu kuna mifupa kama 20 hivi, na ni majina ya marehemu wavumbuzi wazungu..asikudanganye mtu.eti unakariri tu kama kasuku never ever,kadri utakavyo practice uliyo kariri,ndo unaelewa zaidi ulichokariri mwanzoni.Nakupa mfano huu tulikariri sana vifungu vya Biblia wakati tuko wadogo hata maneno yenyewe hatukuyatilia maanani saana kama watu wazima walivokuwa wanayachukulia.lakini baadaye vile vifungu vilitusaida sana kujua neno la Mungu kwa marefu na mapana,ukubwani.ivo basi Practice makes perfect keep it up.you gonna see the way.
Mm najiona nipo tu sijui ata nna kipaji ganiUkiachana na mambo tuliyo bobea baada ya kufundishwa kila mtu anakipaji chake alicho zaliwa nacho, mwengine vipaji vyao wanavijua mwengine mpaka sasa hajui ana kipaji ngani
mm kipaji changu ni uchoraji nilijikuta najua kuchora tokea nikiwa mdogo sema sikukiendeleza saivi naona kinafifia fifia kidogo lakini bado kipo
Kama mnajua kipaji chako tuambie ni kipi unaweza ukampata mtu mnaoendanda
Kumbuka: kipaji sio ujuzi(skills) hata mtu anaejua kuandika code sana hicho sio kipaji alijifunza au labda amezaliwa anajua Java na c shap ndo kitakua kipaji.
Pia kama huna kipaji nakupa pole, au ulikua nacho kikapotea embu tuambie
kweli hiki ni kipaji, kwangu viceversa is true.Nimekuelewa vzr mkuu na nimeuliza hivyo sababu nikiwa mdg(under 10 yrs) nikiwa Sunday school tulipewa vifungu tofauti ili kuvikariri lkn pia kuichambua biblia ili kujiandaa na mashindano ngazi ya mkoa,nilifanya wonders lkn pia kila j2 tulikuwa tunapewa zab 1 kuikariri ili next sunday unaesema mbele ya wazazi,kwng ilikuwa tofaut kdg,niliweza kukariri zab 2 na kila mtu alinishangaa.
Nikiwa Alvl tulienda kwny easter conferenc na hapo tulifanya mashindano tofauti kwa upande wangu niliiwakilisha shule wangu kwny Mtihan wa biblia na hapo tulitakiwa kumeza Samwel wa kwanza yote then tupewe mtihani..nilimeza mkui ilifika point niliweza kusummarize hicho kitabu na ktk yale mashindano nilipata 98% na wa pili alipata 78% niliongoza kimkoa .
Nikiwa form 6 nilitakiwa kuuwakilisha mkoa lvl ya taifa bahato mbaya mwaka wetu utarabt ulibadilika ,tulifanya Necta Mwezi May na Easter ilikuwa Mwezi april,nilishindwa.Lkn niliamini ningeongiza tena.
Nikiwa chuo kusema kweli ufaulu wangu ulitegemea sana kukariri na hata wenzangu walinitegemea sn ktk presentation..."Hii sehemu tumuite Jack"
basi utakuwa unajua sana hesabukweli hiki ni kipaji, kwangu viceversa is true.
kiasi chake, hadi leo hakuna hata kifungu cha biblia nilichokariri mbali nakuwa huwa naisoma soma,i
basi utakuwa unajua sana hesabu
duuu! Mungu ana maajabu yake..humpa kila mtu kile apendacho yykiasi chake, hadi leo hakuna hata kifungu cha biblia nilichokariri mbali nakuwa huwa naisoma soma,
wakati nipo high school na o-level mtihani ukikaribia naacha kusoma kabisa, maana ntafanya madudu, sikuwa mzuri kutunza nilichokariri muda mfupi ulopita.
Ili nifanye jambo kwa uzuri, naperuzi mapema zaidi, na hata interview nikijiandaa naenda kuboronga, connection ya mawazo( fikra) na nilichokariri inakosekana.