Ukiachana na mambo tuliyo bobea baada ya kufundishwa kila mtu anakipaji chake alicho zaliwa nacho, mwengine vipaji vyao wanavijua mwengine mpaka sasa hajui ana kipaji ngani
mm kipaji changu ni uchoraji nilijikuta najua kuchora tokea nikiwa mdogo sema sikukiendeleza saivi naona kinafifia fifia kidogo lakini bado kipo
Kama mnajua kipaji chako tuambie ni kipi unaweza ukampata mtu mnaoendanda
Kumbuka: kipaji sio ujuzi(skills) hata mtu anaejua kuandika code sana hicho sio kipaji alijifunza au labda amezaliwa anajua Java na c shap ndo kitakua kipaji.
Pia kama huna kipaji nakupa pole, au ulikua nacho kikapotea embu tuambie