Unakipaji gani?

Unakipaji gani?

Cna hakika kipi nikipaji changu hasa.
Kukimbia
Kukumbuka mambo ya kale na watu,nilio wahi kuwaona
Ngumi
Kucheza Mpira wa miguu.
Vyote navitumia.
 
Age ni 19.. Dhu sasa mm sijui hiki ni kapaji au uwezo tu wa mtu binafsi na uwezo mkubwa kiakili tu wa ku process information na kuchangauna mambo pia mm ni mchoraji, napenda kucheza draft "chess" na computer au na-wazee pia gemu la kupanga Tetris kwa maa napenda kutumia akili sema sependagi sana kujionyesha kama naweza au nauwezo kuliko wengine napenda kuwa mpole watu wanione wakawaida sitakagi kujionyesha kama najua
Unavituko Kama maisha ya wakoloni
 
Hongera kwa kutambua vipaji vyenu mnaweza kuvifanya vikawa fursa.
Haya sisi tusiotambua vipaji vyetu mnatushauri nini?
 
Nina shule ya watoto wadogo(Nursery school) nmeajiri walimu wanne jumla tupo watano na mpishi mmoja,nina wanafunzi kama mia mbili na kidogo,sijawahi kusoma chuo chochote cha taaluma hiyo,nilianzisha nikiwa mwenyewe tu miaka kama 6 huko nyuma,walimu wangu wote wamesomea kazi hiyo,cha ajabu hakuna anayenifikia kupiga pindi,na hakuna anayejua kama sijasomea,hata mke wangu hajui kama sina taaluma ya kazi yangu zaidi ya kipaji,shule yangu inasifika mno kwa ubora wa taaluma sehemu ninayoishi.Mungu ni mwema.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mi ninakipaji cha kupiga saundi/kushawishi na mtu akashawishika,ukiingia 18 zangu huchomoki,nilitakiwa niwe mwanasiasa au wakili lakini mambo ya kukaririshana utotoni eti na mie nkataka kuwa injinia/pilot wakati hesabu changamoto.
 
muraaa fiatu fya samaki wacha asra tataa. muchini hapha. bhatu bhote bhanarara kwa nyumba ya pati.
 
Nilikuwa nina kipaji cha kuchora, kutokana na malezi kikafa, nikabakiza muziki, kufikia umri huu bila kupoteza kipaji changu nimepitia mengi, Mwaka huu naanza kuwekeza zaidi kwenye kipaji CHANGU.MWENYEZI MUNGU ABARIKI NIA YANGU AMINA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok! sasa wooote mnasema ooh changu hivi mara vile sasa nataka niwaonyeshe njia kumi bora za kutambua kipaji chako, na hii haijalishi wewe ni nani na uko wapi ilimradi tu maisha yanaenda, hapana ukijua kipaji chako maisha yatakuwa rahisi sana, kiujumla mfano mtu ana kipaji cha kupiga ngenga saana,asa badala ya kukaa kijiweni, anakurupuka na slogan ya Mungu,yaani huyu anakuwa mchungaji wanasemaga eti wameitwa na Mungu.na mwingine akijaribu wanamshushua na maneno Umeitwa? niliwahi kuyasema haya maarifa kipindi fulani mwaka jana. ila kwa faida ya watu woote wa JF nitarudia hapapa tena kama ifuatavyo;
(1)Kazania sana kufanya jambo ambalo unalipenda sana kutoka moyoni,na jambo hili lisiwe la
kuiga kwa mfano umekua hujui kuimba ghafla unamuona Diamond anaimba tayari na wewe unataka,
(2},Weka mkazo kwa kila jambo ambalo unalitimiza kirahisi, tu bila kutumia nguvu nyingi.utajuaje?
rahisi tu marafiki zako na watu wako wa karibu kama familia, wanafunzi wenzako wata kusifia
katika utekelezaji wa jambo lililo kubwa kwao watasema muite fulani aje.kama mashauri, ku
fix home appliance,kutunza mifugo nk.
(3} Ni kitu gani ulipendelea sana kufanya ukiwa mtoto mdogo chini ya miaka mitano yaani hicho
kitu ulikifanya mara kwa mara,mfano toy za gari za udongo,au waya waya, kucheza
mpira nk,pia kama ilitokea wazazi walipokupeleka shoping ulitamani nini pale
Dukani kuliko kile baba yako alikuchagulia,
(4) kile unachokiogopa saaana hata kujaribu tu ,kifanye kwa moyo wako wote anza kujaribu
kidogo kidogo hapo ndo kipaji kime lala.
 
mshana anakuja kumalizia nyingine kama mwana JFaweza fanya basi uzuri. una maswali uliza tu usiogope,
 
umenipa mwangaza sikuwa najua jins ya kukitambua kipaji changu ila kupitia haya maelezo umenisaidia
 
Back
Top Bottom