Unakiona kitu cha mzee hicho

Acha ajilie vyake jamani mbona magamba hawataki kutoka madarakani,
 
Yule Gavana aliyekula huu mzigo wa mzee ishu yake iliishia wapi?...sakata hilo lilitokea mwaka juzi kama sikosei.
 
Kila akikumbukwa, lazima mzee ahakikishe anagombea urais hata kama ni kwenye machela.....
 
Jamani katika hali ya kawaida dushelele inakuwa obsolete ukiwa na umri gani????

Ni muhimu kujua useful life ya hichi kiungo muhimu sana ktk ujenzi wa jamii imara yenye amani na utulivu
 
Jamani katika hali ya kawaida dushelele inakuwa absolute ukiwa na umri gani????

Ni muhimu kujua useful life ya hichi kiungo muhimu sana ktk ujenzi wa jamii imara yenye amani na utulivu

Hahahahaha.... Ng'ombe hazeeki maini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…