Ngangasyonga
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 455
- 71
Jamani katika hali ya kawaida dushelele inakuwa absolute ukiwa na umri gani????
Ni muhimu kujua useful life ya hichi kiungo muhimu sana ktk ujenzi wa jamii imara yenye amani na utulivu
Mkuu, kwa mujitu wa tiba za asili, wanasema inategemea sana na chakula unachokula, na usiwe na magonjwa ya huko sehemu yanapunguza mikiki ukiwa na umri mdogo. Lakini kama unakula swafi hasa mboga za majani na matunda kwa wingi na mazao ya ardhini kama carot, tangawizi, kitunguu swaumu na kitunguu maji, viazi vitamu, unakuwa fiti hata ukiwa na umri kubwa. jaribu ku-google "superfoods for libido"
Nawakilisha