R rebeca Senior Member Joined Dec 18, 2011 Posts 190 Reaction score 27 Mar 5, 2012 #1 ni kama hivi lol
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 712 Mar 5, 2012 #2 hahahaha duh aya bana,naona umeamua kutudhilishia carorite unayotumia
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,895 Reaction score 97,869 Mar 5, 2012 #3 Du hadi vidole vinafanyiwa mkorogo? Eh basi hatari bado Kei tu?
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Mar 5, 2012 #4 Naona hata hiyo Carolight imekataa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Mar 5, 2012 #5 Vidole vya mkorogo vinakuwa vyeusi maungioni
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,262 Reaction score 6,562 Mar 5, 2012 #6 hivo vidole vimeshika nn?
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Mar 5, 2012 #7 Vya sinta nini? Naona maneno hapo.
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 883 Mar 6, 2012 #8 Watu sijui kwanini wanadhani weupe ni kila kitu katika uzuri! Hadi wanaume siku hizi nao wanatumia carolite nasikia..
Watu sijui kwanini wanadhani weupe ni kila kitu katika uzuri! Hadi wanaume siku hizi nao wanatumia carolite nasikia..
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,113 Mar 6, 2012 #9 Amyner said: Watu sijui kwanini wanadhani weupe ni kila kitu katika uzuri! Hadi wanaume siku hizi nao wanatumia carolite nasikia.. Click to expand... ni ulimbukeni wao tu.
Amyner said: Watu sijui kwanini wanadhani weupe ni kila kitu katika uzuri! Hadi wanaume siku hizi nao wanatumia carolite nasikia.. Click to expand... ni ulimbukeni wao tu.
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,069 Mar 6, 2012 #10 rebeca said: View attachment 48644ni kama hivi lol Click to expand... hata hivyo anaonekana ana kijungu cha kazi zaidi,ungemalizia tuone chote.
rebeca said: View attachment 48644ni kama hivi lol Click to expand... hata hivyo anaonekana ana kijungu cha kazi zaidi,ungemalizia tuone chote.
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 639 Mar 6, 2012 #11 he he he tuoneshe na uso
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 712 Mar 6, 2012 #12 vidole vimetumika sana tatizo
babe S JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 3,879 Reaction score 20,859 Mar 6, 2012 #13 Hahahahaha right on sista, right on
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Mar 6, 2012 #14 utadhani vimezeeka! uzuri kazi teeeh teeeeh
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,127 Mar 6, 2012 #15 Carolite imekataa, inabidi itumike giki
Royals JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,477 Reaction score 391 Mar 6, 2012 #16 Vidole vya bi Chau mke wa mzee King Majuto. He he heeeeeeee!