Unajua somo hili katika mafanikio?

Unajua somo hili katika mafanikio?

mtetezi12

Member
Joined
Feb 17, 2026
Posts
23
Reaction score
116
Kwenye mitandao ya kijamii kumejavaa mafunzo mengi kuhusu mafanikio katika maisha au biashara yeyote na mafunzo hayo ni mazuri na nimoja ya njia ya mafanikio
Je umewahi kusikia haya ?

Ukiwa katika safari ya mafanikio katika biashara yako hakikisha umetimiza mambo haya kwanza

1) kuwa na mausiano mazuri na wafanyakazi wa TRA au viongozi wa serekali ( fanya nguvu chini ili usilikose )
2) katika safari yako jitaidi sana kuwa mtu wa kiroho pray kwa imani yako itakavyo kuongoza ( in jesus name, Allah , yaani kwa vyovyote vile maana maombi utuliza amani ya moyo na kukupa matumaini ambayo huna pale unapokuwa umeshindwa jambo )

3) kuwa mtu wa watu ili muhimu ata kama utakuwa huna kikubwa ila ata kile kidogo utakachokuwa nacho saidia hii itakujengea sifa nzuri katika jamii

4) usikose gang lako la kihuni (😀😃😄) ili unaweza kuchukulia utani ila ndo reality unapokuwa katika safari ya maisha kundi ili muhimu sana ( kwa jina lingine kundi ambalo utakuwa unafanya nalo mambo mengi ya siri)

5) usikose waganga ili pia muhimu 😀😃😄😀😃😄

6) kuwa muanzilishi wa makundi mbali mbali ya kusapoti wanawake na watoto ( 😀😃😄😀😃😄)

7 pensa sana camera hata kama sio wewe watu wako kusikose wapenda camera

8) kuwa mvivu wa kulipa madeni

Haya yote unayafanya ili kutengeneza cheni ya watu na njia ambazo zitakusindikiza katika mafanikio
 
No.8 sikubaliani na wewe

Ukisoma vitabu vingi vya biashara ile deep wanazungumzia madhara ya madeni na kutokulipa kwa wakati unless mambo yaende ndivyo sivyo

Kasome Kitabu The Total Money Makeover kimeandikwa na Dave Ramsey.
Ni mmoja wa waandishi maarufu sana kwenye maswala ya usimamizi wa fedha binafsi, na anasisitiza sana nidhamu ya kuishi bila madeni na kupanga matumizi vizuri.
 
Back
Top Bottom