GE2025 Unajua nini kuhusu Dr. Emmanuel John Nchimbi?

GE2025 Unajua nini kuhusu Dr. Emmanuel John Nchimbi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna ya Amina Chifupa pia.Aliona nyota ya Amina Chifupa inang'ara. Akajua Amina anaweza kuwa mwenyekiti wa UVCCM.Nchimbi akamfanyia visa dada wa watu mpaka alichanganyikiwa na kufa juu.Huyu Nchimbi ni zaidi ya Shetani na degree yake fake.
Nasikia ni mafia haswaa, huyu Mlongo.
Mbna hata huyo Madame prezo awe nae makini.
 
Tusubiri tuone, polepole anasema hata jiwe alijua anawindwa, ila ndio hivyo tena.
Jiwe aliingia mkenge,kwanza alimuamini Rostam Azizi na hapo ndo alifanya kosa kubwa mno. Kumbuka magazeti ya Rostam kipindi kile ndo yalikuwa mbele kuanika uovu wa Magufuli ,maana walijua ni Magufuli pekee ndo tishio la Lowassa.Hiyo ilikuwa before 2015.
 
Mmatengo.
Shida ya ninyi wamatengo kujitambulisha kama Wangoni kama Wandali wanapojiita wanyakyusa.Kuna dhana dhahania Kila mtu anapoonyesha mwelekeo Fulani kubadilishiwa Kabila akina mchimbi wako wengi hiyo koo nayo ni kubwa kutoka Songea vijijini huko,ilienda na Mkapa kuitwa mmakonde.Sisi wamatengo hatuna Mchimbi.Umeelewa we mwanamke wa kingoni?
 
Jiwe aliingia mkenge,kwanza alimuamini Rostam Azizi na hapo ndo alifanya kosa kubwa mno. Kumbuka magazeti ya Rostam kipindi kile ndo yalikuwa mbele kuanika uovu wa Magufuli ,maana walijua ni Magufuli pekee ndo tishio la Lowassa.Hiyo ilikuwa before 2015.
Asa kwanini akamuamini adui yake😬
 
Kwanza kumuamini Nchimbi, tayari ni uzembe mkubwa mno kafanya.Iam sure alimuweka Nchimbi kwa ushauri wa JK .JK alijua Nchimbi ana mdomo sana na ni mtata sana.Hivyo ili kumziba mdomo basi amchague awe makamu wake.
Inamaana jk na Samia wanaishi kinafki baina Yao,licha ya kushobokeana kiasi hiki mpaka watu wanalalamika ni ngumu kuamini Samia na jk ni maadui😬😬 unaweza kunishawishi niamini Hawa watu wanaishi kinafki baina Yao😬😬😬
 
Dr. Emmanuel Nchimbi amewahi kushika nafasi mbalimbali za ajira na uongozi, nyingi zikiwa ndani ya serikali na chama. Mpangilio wake wa kazi unaweza kuonekana hivi:

Ajira na Nafasi Alizoshika

1. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini – (2005–2015)

Alichaguliwa kupitia CCM na kushiriki kikamilifu katika mijadala na kamati za Bunge.

2. Naibu Waziri katika wizara kadhaa (2006–2010)

Habari, Utamaduni, Michezo na Vijana

Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana

Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

3. Waziri
Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Vijana (2010)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (2012–2013)
4. Balozi wa Tanzania

Brazil (2016–2021)

Misri (2022–2023)
5. Katibu Mkuu wa CCM – kuanzia Januari 2024 hadi sasa.
6. Mgombea Mwenza wa Rais (2025)
Ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya Makamu wa Rais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Kijana wa mangula kiitikadi pia ni wakaribu na polepole tujiandae atakuwa rais 2030 if no reforms
 
Dr. Emmanuel Nchimbi amewahi kushika nafasi mbalimbali za ajira na uongozi, nyingi zikiwa ndani ya serikali na chama. Mpangilio wake wa kazi unaweza kuonekana hivi:

Ajira na Nafasi Alizoshika

1. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini – (2005–2015)

Alichaguliwa kupitia CCM na kushiriki kikamilifu katika mijadala na kamati za Bunge.

2. Naibu Waziri katika wizara kadhaa (2006–2010)

Habari, Utamaduni, Michezo na Vijana

Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana

Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

3. Waziri
Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Vijana (2010)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (2012–2013)
4. Balozi wa Tanzania

Brazil (2016–2021)

Misri (2022–2023)
5. Katibu Mkuu wa CCM – kuanzia Januari 2024 hadi sasa.
6. Mgombea Mwenza wa Rais (2025)
Ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya Makamu wa Rais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
amewahi kuwa mkuu wa wilaya pia
 
Mi nachojua ni Makamu wa Rais na ndiye rais baada ya Samia na baada ya hapo Ridhiwani Kikwete ndiye Rais
 
Team Lowassa lia lia,mwanamtandao ambae hakuwahi kuasi .Ni mmiliki wa account ya Kigogo twitter.Yaani ndoto yake ni kuwa Rais bila kutoa Jasho kama ilivyokuwa kwa Samia.Inshort Samia hatomaliza term ya pili.I wish this time jeshi liingilie kati .
We mwanamke nakuchukuliaga mrembo na mlaini..kumbe mzito
 
Mimi ninacho jua nchimbi ni kijana wa Mr clean, Edo alikuwa anawachukua watu Tu bila kuwafanyia screening kisa mapesa yake, na watu walikula sana pesa zake na ndio maana mipango mingi iliharibika coz ya double Agents
 
Back
Top Bottom