GE2025 Unajua nini kuhusu Dr. Emmanuel John Nchimbi?

GE2025 Unajua nini kuhusu Dr. Emmanuel John Nchimbi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kazaliwa Mbeya kakulia Dar baba ake alikua RPC Mtwara
Kasoma
primary Oysterbay
O level Uru na Sangu Mbeya
A level Forest Hill Mbeya
Chuo IDM Mzumbe

Mtoto wa mjini haswa
Mngoni mpe pesa atafikisha ....
Ila kishule ni kilaza kwa kweli.
 
Team Lowassa lia lia,mwanamtandao ambae hakuwahi kuasi .Ni mmiliki wa account ya Kigogo twitter.Yaani ndoto yake ni kuwa Rais bila kutoa Jasho kama ilivyokuwa kwa Samia.Inshort Samia hatomaliza term ya pili.I wish this time jeshi liingilie kati .
Nachoka roho na mwili mimi jamani
 
Ni kilaza flani tu hivi,alikua na skendo ya kuwa na PhD feki
 
Ya Mbeya !!!
Advance kasoma Forest hill ya Morogoro iliyokua ya muhindi Patel na pale alipata kuwa head boy mpaka anamaliza shule. Moja ya legacy yake aliacha pale kama head boy yeye ndie alikua chanzo cha advance pale forest hill kuanza kuvaa suruali hapo nyuma sare za forst hill kuanzia o'level mpaka advance wote walikua wakivaa pensi/kaptura.
 
Yes Nchimbi idara kitambo na mtu mwenye msimamo sana sijui ilikuaje akakubali kua makamu bila kufuata taratibu na ni mtu anaekijua chama pia vizuri. Nchimbi ni mtu msimamo anaemchukulia poa Nchimbi ni wakumuonea huruma yeye ndo alietoka nje wakati wamemkata Lowassa na kusema CCM haijafuata taratibu mbele ya kina Mkapa na JK nafikiri alipewa Umakamu asimsumbue
Alisimama na Lowasa kwa nguvu zote sababu alinunuliwa na Lowasa kwa pesa nyingi, na yamkini alijua Lowasa akipita atapewa uwaziri mkuu. Huyo mtu hafai.
 
Baba yake naye alikuwa kiongozi ccm ni wale wale tu no ReformsNoElection
 
Mara asemwe februari ndo kigogo.. Nawe umekuja na hii ya john
La hakika kabisa, February siyo Kigogo. Kuna wakati fulani kabla Kigogo hajawa maarufu (kipindi cha kuelekea uchaguzi wa 2015), Kigogo aliishambulia sana familia ya kina February, alimtuhumu February na dada yake wa Mtandaoni kujihusisha na kumtapeli mzungu fulani, lakini pia aliwananga ndugu zake wengine kwa ulevi.

Kwa hiyo February na Kigogo ni vitu viwili tofauti.

Ila kwa awamu hii ya tano tumemuona akiwa sana upande wa Rais wa Mawe, pengine ni kwa kuhongwa au kuna namna nyingine.

Tuendelee kumfuatilia, naamini kuna wakati ataacha nyayo za kidigitali na hapo ndipo atakapodhihirika ni nani hasa.
 
huyu sindioo aliwahi kususa huko nyuma yeye na wenzake kuwa taratibu flani flani kwenye chama hazikufuatwa? mbona sasa yuko kimya kama zezeta? nchi ngumu sana hiyo wanaume wamepoaaaaaaaaaa kuliko madada poa, poleni wadanganyika.
 
January si Kigogo,kumbuka Kigogo kamsema vibaya sana January alipokuwa Nishati.
Haiwezekani huyo gogo original wa Twitter sio wale fake wa Facebook na insta kama ni huyu asingekuwa anamwandika vibaya kiasi hicho godfather wake manvi alipoenda kwenye vidole viwili
 
Back
Top Bottom