Unatizama market trend, unachoose market target then unatengeneza marketing strategyHii inaitwa rebranding
jamani lazima ufanye Competitors Monitoring
afu uji-position kwenye market vizuri, uniqueness inahusu
nikisogea karibu yako nasikia harufu ya "eden"Aiseeee, . . .
Mshindi atazawadiwa?
nikisogea karibu yako nasikia harufu ya "eden"
kama mtihani ukiandhika hivyo msahishaji akasoma nadhani mwisho majibu yakija utakuwa ushafelihahahaaaa...we umesuka wig..
Mpoleee si ungesema kuwa hii Thread ilikuwa ni Special kwa MTM Umezunguka zunguka kama mawingu Upendo wate mlengwa ni huyo...
Domo lako na wewe kumbe zege... kwa maneno mengi ya Humu ukimfuata hakatai... kazi kwako
pima uwezo wako wako mwaga mistari huwez jua labda utatoka na kimwana ama mkaka wa haja.
Mpole achana na MTM, Kuna kakaangu atakufaaa, apenda wadada wapoleeeeeee na wazuri kama wewe uonekanavo. He will treat you like a queen and give you his world... You will be a happy woman, nami nikiwa kama wifi yako sitakusumbua kwa lolote lile wala kuingilia mapenzi yenu, Shahidi Sweet lady na King'.... Familia yetu yakusubiri kwa hamu, mamangu kasikia story kuhusu wewe and she is so eager to see you... For wee ndo utakua mke wa kitinda mimba wake..... Karibu kwenye familia yetu mpole....