Unajua kazi yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajua kazi yake

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by IrDA, Oct 16, 2012.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Mume flani alichoka kulala peke yake baada ya mke wake kusafiri kwa muda wa miezi mitano.

  Aliposhindwa kabisa kuvumilia akaanza kum'mezea mate housegal wake.

  Siku moja akaaingia chumbani mwake,akavua nguo zote na kujilaza kitandani,kisha akamuita housegal.

  Housegal alipofika akapata boss wake amejilaza kitandani uchi kama alivyozaliwa.

  Boss akamuuliza,"Wajua kazi ya hii? {huku ameshikilia uume
  wake}
  Housegal akajibu,"Ndio boss."
  Boss akamwambia ,"Haya nioneshe."

  Housegal akasonga pole pole hadi mbele ya boss;akapiga magoti,akashika uume wake kwa mikono miwili,akafungua mdomo na kusema,"Kwa majina naitwa Irene Nanjala nina miaka 19,na ningependa kutuma salaam kwa baba na mama wakiwa kule kakamega...ujumbe ni kuwa sijawatumiako pesa kwa sababu boss alisafiri,pia ningependa kutuma salaam kwa boyfriend wangu Wafula akiwa Bungoma polytecnic College...ujumbe ni kuwa nam'miss tu sana,na pia naomba uwachezee wimbo wa P square Chop my Money."

  Alipomaliza kuongea akasimama na kusema,"Boss asante kwa microphone yako!"
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,238
  Likes Received: 12,949
  Trophy Points: 280
  Umri wake?

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
Loading...