chronological age: huu ni umri wa mtu alio nao, kama una miaka 20 basi chronological age yako ni 20 years
mental age: huu ni umri wa akili ya mtu, kama una miaka 10 na unaweza kufanya vitu ambavyo tunategemea afanye mtu wa miaka 15 basi mental age yako ni 15 years
IQ=(mental age/chronological age) x 100
mfano: ukiwa na miaka kumi unafanya vitu vya mtu wa miaka kumi
10/10 x100=100 hii ndio IQ ya mtu wa kawaida
umri unapoongezeka vigezo vinachange kwa sababu reference ya mental age inakosekana.
nowander sex ingekuwa kigezo wabongo tungekuwa magenius !
Rule of thumb formula for IQ -fool me once shame on you, fool me twice shame on me.
kwa adults mara nyingi haiko effective. sababu kadri umri unavyoongezeka ewezo wa akili wa watu unapungua,mtu mwenye miaka hamsini mara nyingi huwa nauelewa mkubwa kuliko mtu mwenye miaka sitini au sabini. tofauti na watoto ambao tunategemea mabadiliko ya akili huenda sambamba na umri. kama sijasahau limit ya formula ni miaka 16. kwa watu wazima huwa inakuwa modified na zinatumika mbinu zingine bila kuingiza kipengele cha mental age.je iko effective kwa adult???
Deepness, speed and acuracy of thinking in relation tu ur age ndo vitu vinavyotumiwa kupima iq mkuu kiasi kuwa hata mtoto wa miaka 8 anaweza mshinda mtu wa 20 year. Kuna free test ya iq online unaweza jaribu.
Nahis IQ yangu ilikuwa kubwa sana sema tu hakupatikana mtu wa kunipima mfano; nilikuwa wa kwanza kuwaandikia majina wanafunzi wenzangu kwenye madaftari turipoanza darasa la kwanza. Niliweza kubuni mbinu ya kuchagua ng'ombe yupi atoke kwenye zizi bila ya kutoa amri ya saut,(NIMEKULIA USUKUMAN) yaan nikiangalia tu anajua anatakiwa atoke, mpaka kufikia darasa la tatu nilikuwa nimeishasoma vitabu vyote vya kiada mpaka vya darasa la saba na vingine ambavyo nilikuja kugundua nilipofika form 3 nilipoambiwa vinatumika kujbia maswali ya fasih. Baadhi ya Maswali niliyokuwa najiuliza pindi nilipokuwa darasa la tano nimetafuta majibu yake mpaka leo inaonekana hayan majibu halafu ni ya kisayans sio ya kiiman so na mpango wa kujaribu kufanya research siku zijazo.
HAYA KOKOTOA HAPO IQ YANGU NI NGAPI