Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

Wadau naamini tuliowengi tumeikuta bendera ya Tanzania.Binafsi simfahamu aliyeibuni zile rangi na mpangilio wake ,iwapo kuna mtu anamfahamu naomba atujuze
Screenshot_20191110-220655_Google.jpeg
 
Wadau naamini tuliowengi tumeikuta bendera ya Tanzania.Binafsi simfahamu aliyeibuni zile rangi na mpangilio wake ,iwapo kuna mtu anamfahamu naomba atujuzeView attachment 1259916
Bendera hii imepatikana tangu 30 Juni 1964 kutokana na muungano wa Tanganyika na
Zanzibar . Bendera ya Tanganyika ilikuwa na rangi ya kijani ikiwa na kanda nyeusi katikati yenye milia za njano kando. Buluu imepatikana kutokana na bendera ya Zanzibar ya mwaka 1964 ikimaanisha bahari . Hata hivyo toka mwaka 2005 , Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ilianza kutumia rasmi bendera ya Zanzibar . Hii ni mara ya kwanza toka kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar kwa funguvisiwa la Zanzibar kuwa na bendera yake lenyewe.
 
Bendera ya Zanzibar mwaka 1964
iliyotangulia kuundwa kwa bendera ya Tanzania.
170px-FlagZanzMapinduzi1964.JPG
 
Bendera ya Jamhuri ya Tanganyika tangu mwaka 1961 hadi 1964 iliyotangulia kuundwa kwa bendera ya Tanzania.
170px-Flag_of_Tanganyika_(1961%E2%80%931964).svg.jpeg
 
Back
Top Bottom