Unajua eneo ambalo ukiligusa lazima mwanaume afike safari?

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Mwili wa binadamu ni wa ajabu maana kunamaeneo maalumu ambayo yakiguswa lazima msisimko upande. Wengi wamezoea kuwa hilo lipo kwa wakina dada tu, ila unajua kuwa kuna maaeneo ukiyagusa kwa mwanaume kuanzia dk ya 3 yanaweza kusababisha mwanaume afike safari bila kutarajia?
 
wanaume wenyewe wa siku hizi goigoi, kwanini nijinyime uhondo mapema?
 
wanaume wenyewe wa siku hizi goigoi, kwanini nijinyime uhondo mapema?

Unawanaume kijiji? Maana ulichoandika unatuambia kwamba una wanaume wengi sasa? Unabahati mbaya sana kwamba kila mwanaume unaetembea nae ni goi goi.... Anyway, endelea tu utapata super straight siku moja..............
 
Mkuu umeona eehhh
Huyu inaelelea anachagua sura hachagui mwanaume halisi
 
Kila mwanaume na sehemu yake, mwingine ukimnyonya chuchu tu wakati mnaendelea anateremsha, kwa hiyo kwa usalama wa starehe yako ni bora usubirie mpaka umalize bashara yako kwanza
 
Back
Top Bottom