Unajivunia nini kuwa Mtanzania?

Unajivunia nini kuwa Mtanzania?

Nilifedheheshwa na CNN kuelezea swala la ushirikina wa waTz. Swala la wenye ulemavu wa ngozi kuuwawa nalo linatia aibu sana.
 
Binafsi nje ya Tanzania sijawahi kwenda, labda Daslam tu ndio nimefika.
Ila huku Ushirombo ni raha sana aiseeee.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Ndiyo hvyo sasa.......tunavyo tu kama mapambano ila wananufaika navyo wengine.
Ni kweli kuna vitu vimegunduliwa mfano Uranium na Helium lakini hakuna anayejua vinaenda wapi, vimekuwa ni mapambo tu.
 
Naona aibu barabara kujaa mchanga.......naona aibu posta tunapishana na vinyesi vikielea.
 
Nachukia kam nchi ambayo mambo yake yote ni siasa tu iwe elimu afya shughuli za maendeleo misiba majanga yaani kwa kifupi kila kitu siasa tu yaani.
Ni kweli mkuu. ... japo avatar yako sijaielewa ila hoja yako nimeipenda....
 
Naona Aibu

- Madini ya Almas, Tanzanite na Dhahabu kutaja chache kwamba yanapatikana Tanzania lkn kuyanufaishi nchi wala hakuna taarifa za kutosha kuhusu uvunaji wa madini hayo.

- Kwamba Tanzania ina rasimali nyingi lakini ndio nchi yenye umaskini wa kukudhiri.

NAJIVUNIA

- Wananchi kupanga mipango kwa mdomo hawajambo ila utekelezaji hakuna.

- najivunia kila jambo tunakichukulia kisiasa
 
Back
Top Bottom