D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,193
- 3,325
Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"
hahaha hatari sana unaweza kukata majibu yote na kuanza upyaDuuh hiyo ishamtokea jamaa yangu juz juz kwenye pepa. Msimamiz alivotazama jamaa anavojibu akauliza, "hivi huwa mnashika nafasi ya ngapi kimkoa mtihani wa taifa?"
Akajibiwa .... akaguna halaf akasema haaya!