Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,249
- 93,771
Wake zawatu wanafupisha maisha .Asijifunze kukula wake za watu
Habar yako chiefexactly
Walaaaaah swez maanaUsiniumize tu
Safi chief, mambo vp!Habar yako chief
Mambo yangu yako poa sana, Mungu ni yupo hai !!Safi chief, mambo vp!
kwangu pia Mungu anaonekana chief, asante sana, shemeji yangu mima hajambo?Mambo yangu yako poa sana, Mungu ni yupo hai !!
Vipi kwako?
[emoji3]Maneno yako ya kingereza yamenirudisha miaka kadhaa nikiwa sekondari , mwanadada aliyeitwa Asnatha alinambiaga siku iyo nilichelewa kurudi shule, ivo nikarudi saa sita mchana,, nilipoingia darasani tu , mbele ya mwalimu wangu, Darasa likapiga kelele za kufurahia kuniona.
Nanilipoenda kukaaa Asnatha alinambia hayo maneno.
Lkn pia maneno yako yamenikumbusha nilipokua nmepanga awali... Kule wababa wakahisi nmewazalisha wake zao sababu tu watoto wao wananipenda sanaaa kutwa kushindia kwangu ,wasiponiona wanalia ,,kile kitendo kikafanys wamama zao wanipendeee sanaaaa ,,,, hapo ndo yakasika maneno kua nakula wake zawatu oohhhh nimewazalisha .
Hata ivo nikaamua kuhama zangu ,, ila mmoja ya mama wa mtoto ,nilipokutania naye aliyasema hayo maneno yako ingawa yalikua yakiswahili.
Nilichojifunza .......Ukitaka kumla mke wamtu , au singo mama ,..wee jali sana mwanae[emoji23][emoji23]
Naishia hapa J!!!
natafuta nguo ya sikukuuBujibuji kwema?
Fafanua ....Umecheka kicheko gani
Nakiona kama cha FettyFafanua ....
Aisee..naona unatema yai si kawaida[emoji23] [emoji23]Anhaaa owk.Nobody has an objective experience of reality. It's all through our own individual prisms,empathy begins with understanding life from another person's perspective
Kabisa,wanauaWake zawatu wanafupisha maisha .
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Walaaaaah swez maana
Nabard hili na ng'ata kama
Panya
Bwana akupe macho ya rohoni uweze kulitambua hilo jamboYani sijielewi kabisa.Nahisi kuna jambo nitagundua Ila silioni.
Nahisi kuna kitu kinakosekana sikijui.
Yani daaa!!
Nafkiri umeshaamkaNitatoa jibu nitakapoamka
Hahah ukubwa wote hua bado wataka nguo ya sikukuu?utavaa ya mwaka jana,vyuma havitaki kulainikanatafuta nguo ya sikukuu
Hahahhaha acha hizo banaAisee..naona unatema yai si kawaida[emoji23] [emoji23]
Hahahaha kwa hiyo kutunza kwako siri ndo kufaidi kwako,lakini ukumbuke mapenzi hayanaga siri,ni kama kikohozi tuHapo umenielewa nahii nikwasababu hamna mwanamke atakayempenda mwanamme wake kushinda kumpenda mtoto wake....hata km uyo mwanamme ndo kamzalisha.
Je umesahau ,Mama yupo radhi kumuua baba ili abaki na mali na watoto??? .
Ivo basi ukimpenda mtoto ,mama atakuona km wee niunatwmbua uchungu nando hapo unatunukiwa huku akikusisitiza "" Usipomwambia mtu utaendelea kula utamu wangu""[emoji23][emoji23]