Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
- Thread starter
-
- #381
Hongera vlad kwa kuwa mfurahishaji kwa kila alie karibu nae,kipaji hiki ni kwa wachache sana.Hope u were born to make people happy.Be blessedNajiona wa wakipekee na wakitofauti kiasi kwamba nina Fiti kila mahali ,nyakati .
Nahisi kuishi kawaida , kufurahisha yoyote atakayesimama mbele yangu ndio vimenifanya kua ivo.
Kikristo [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umeandika kimakonde shem
Huwa nakisikia tu bibisii hukoKikristo [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Michelle na Barack are the best,wako simple sana tofauti na wadhifa walionao.Ila wale wenzangu na sisi sasa hahhaa.Ila upele hua haumpati mwenye kucha kwa kwelThey are superstars.
Life superstars unaweza wachukua watu kama Michelle na Barrack, Melinda ba Bill gates
Etc
Hahaha wa masika shemDaaaa
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2]
huo mkwaju mmmmh
Saivi ndo npo kreti la pili hapa liko nusuMbn unaagiza Moja moja
Wakat bell co yako
Africans by nature tunapenda show offMichelle na Barack are the best,wako simple sana tofauti na wadhifa walionao.Ila wale wenzangu na sisi sasa hahhaa.Ila upele hua haumpati mwenye kucha kwa kwel
Hahahaha mi naskiaga aljaziraHuwa nakisikia tu bibisii huko
Itabid tuonane kwa waziri mkuu unifafanulie vizuriHahaha wa masika shem
Bwana alituumba hivyo nadhanAfricans by nature tunapenda show off
sijui kwa nni
Bas wako vzurHahahaha mi naskiaga aljazira
Masika huyajui shem?Itabid tuonane kwa waziri mkuu unifafanulie vizuri
[emoji124] [emoji124] [emoji124] haya mm huyoSaivi ndo npo kreti la pili hapa liko nusu
Bas tukubaliane na hal hiyo.Bwana alituumba hivyo nadhan
Mkwaju shemMasika huyajui shem?
Sasa ukisikia mtu ana kwambia kina Michelle na Barry ndio role modeks wake huyo ana maana.Michelle na Barack are the best,wako simple sana tofauti na wadhifa walionao.Ila wale wenzangu na sisi sasa hahhaa.Ila upele hua haumpati mwenye kucha kwa kwel
Its both...brutal.cruel and beautiful.intriguing, and as i have said hapo juu i see the world as i see myself...Everyone has a different perspective of the world around us, but how do you see it? Is it brutal and cruel? or beautiful and intriguing?
Mtuwekee na tafsiri ya kiswahili tafadharIts both...brutal.cruel and beautiful.intriguing, and as i have said hapo juu i see the world as i see myself...
I am not cruel.....i take life as an intriguing one,
one can not expect world to be beautiful if oneself is not beautiful from inside.
It begins with you [emoji6]
Hahaha usichelewe nisije nikaosha vyombo[emoji124] [emoji124] [emoji124] haya mm huyo
Nakuja Ku clear bill
Ongeza la 3
Yeah lazima mtu ukubaliane na hali hahaBas tukubaliane na hal hiyo.
Ila nadhn sabab kubwa n ignorance