Unajifunza nini kwenye picha hii?

Unajifunza nini kwenye picha hii?

akilinene

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
525
Reaction score
445
Angalia picha hii na jifunze jambo na uepuke lisikutokee.


20210823_193949.jpg
 
Mi nimejifunza kuwa (nikiangalia mheshimiwa alivyopiga kisawasawa hilo barakoa) korona bado ipo na hivyo tusikilize maneno ya wataalamu kwa kuvaa barakoa na kamwe tusisikilize unenaji wa kishetani wa gwajima na ndondocha zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom