Unajifunza nini kwenye picha hii?

Unajifunza nini kwenye picha hii?

Mkuu anaangalia nje watu wanavyoendelea na shughuli zao kama tumemuacha vile...
Ila namuambia uchungu na malipizi yapo mioyoni mwetu..tuko pamoja naye
Mkuu nyie mnamkumbuka moyoni, yeye ananyea debe, ndiyo tujifunze mwenye kulitafuta, mwenye kulipata
 
Angalia picha hii na jifunze jambo na uepuke lisikutokee.


View attachment 1906885
1629886333829.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom