mimi tena hun.. ondoa shaka.!! Emh kwanza nambie unakunywa nin ucje ukakauka koo kwa haya mazungumzo..
HahahaSpecial kwa wana jf wote walio single na wachache wenye watu wao humu...
kama unajiamin wewe ni mjanja na unamistari raini ya kumtoa nyoka pangoni basi thread ndo hii.. Ni wakati wako kuntongoza live hapahapa mpaka ntakapokubali, kwa atakaekuja na mistari ya ukweli basi nafasi itakua yake.!!! am single and ready to mingle
who knows.. it can be you