Unajiamini, unaweza.!! try me..

Vipi vijana wameingia mitini kabisa hawana sera ila mie tu nadhani nimeshinda hii game
 
Miss bantu kwahakika inaonekana wewe mrembo na mwenye sauti nyororo Kama kasuku, half Kama Jana nilikuona unatoka salon
 
Hahahaha, ngoja nikae hapa hapa nione wanaume watakavo umbuka.
 
What do you have to offer?

Una thamani ya mistari yangu?
 

Nataka ukuye mutoto yangu,,kusoko nitakwenda hemea mwenyewe,kukazi ya kitanda kinshansa,bukavu,bujimayi na kucongo kwote banafaham mie natomboka muzuri,muparis utafanya mushoping,,yan tayari umekamata moyo yangu,ukuye haraka tafadhari....
 
Sidanganyique, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza na kujitangaza!
 
enhh nakuja sasa hivi, yani we nakung'oa kabla ata ujalala... ngoja npite kwa mganga wangu
 
Mwageni vyombo basi, au na humu kuna akina Timbulo??

Aaah wapi! Watu washastukia mchanga wa macho huo...
Unaweza kutumia nguvu nyiingi kumbe mtu mwenyewe shoka moja mbuyu chini, afu si unajua kuua mende kwa nyundo noumah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…