Nakataa ndugu, mtu ambae kwa mwezi anaingiza 500,000tsh anashindwa chaji ya 10,000? Kitu anachotumia mara nyingi?Mkuu haya maisha ya kupmba omba hakuna anaye yapenda inafikia kipindi unapigika haswaa unakosa hata pesa ya kununua mboga,
Wavumilie tu ndugu yangu maisha yanabana sana
Dahkuna mmoja alikuja kuazima pazi akaunguza waya nikakausha bahati nzuri nilikuanayo nyingine ambayo niliinunua nikiwa kwrnye safari moja hivi,so kila akija kuomba nampa ile mbovu na sijui anaitumiaje!? maana haipeleki moto
Bwiiikuna mmoja alikuja kuazima pazi akaunguza waya nikakausha bahati nzuri nilikuanayo nyingine ambayo niliinunua nikiwa kwrnye safari moja hivi,so kila akija kuomba nampa ile mbovu na sijui anaitumiaje!? maana haipeleki moto
Kauzu zaidi ya dagaakuna mmoja alikuja kuazima pazi akaunguza waya nikakausha bahati nzuri nilikuanayo nyingine ambayo niliinunua nikiwa kwrnye safari moja hivi,so kila akija kuomba nampa ile mbovu na sijui anaitumiaje!? maana haipeleki moto
Noma sanaNi kujiendekeza tu, kifupi usimchekee anavyokuja kuazima muoneshe kwamba hujapenda hata kama utampa.
Mi jirani kuna siku kaja kuazima brender nilimshangaa sana, mana mm sinaga kabisa hiyo tabia aisee.
Hahahaa kisa unavuta bangiiUna njia tatu utachagua ipi inafaa zaidi
1. Mpe makavu, anunue charger yake hamna haja ya kucheka na nyani.
2. Siku muwahi ujifanye umesahau kama amekurudishia charger yako maana huioni anzisha vurugu mdai charger yako mapaka iwe kesi.
3. Anza kuvuta bangi, mimi majirani mpaka wanawaambia watoto wao wasikatize karibu na kwangu wasijifunze tabia mbaya.
Huwa siazimi wala kuazimisha vitu vya Moto yaliwahi kunikuta makubwa.kuna mmoja alikuja kuazima pazi akaunguza waya nikakausha bahati nzuri nilikuanayo nyingine ambayo niliinunua nikiwa kwrnye safari moja hivi,so kila akija kuomba nampa ile mbovu na sijui anaitumiaje!? maana haipeleki moto
Umetisha sana mkuu.kuna mmoja alikuja kuazima pazi akaunguza waya nikakausha bahati nzuri nilikuanayo nyingine ambayo niliinunua nikiwa kwrnye safari moja hivi,so kila akija kuomba nampa ile mbovu na sijui anaitumiaje!? maana haipeleki moto
Una njia tatu utachagua ipi inafaa zaidi
1. Mpe makavu, anunue charger yake hamna haja ya kucheka na nyani.
2. Siku muwahi ujifanye umesahau kama amekurudishia charger yako maana huioni anzisha vurugu mdai charger yako mapaka iwe kesi.
3. Anza kuvuta bangi, mimi majirani mpaka wanawaambia watoto wao wasikatize karibu na kwangu wasijifunze tabia mbaya.
Natengwa na majirani sababu ya mmea, kuna kisa fulani nikikumbuka mpaka nacheka kuna siku nilikuwa naelekea dukani usiku kununua mkate maana kesho yake nilikuwa nawahi asubuhi sana kutoka.Hahahaa kisa unavuta bangii