Unaishi kwa kipato chako?


Jamani mnatutisha tulio ughaibuni, kwa mtindo huo haturudi bongo
 
ukweli ni kwamba ni baadhi tu ya wafanyakazi wa sekta binafsi nchini ndio wanaweza ishi kwa vipato vyao kwani kidogo mishahara sekta binafsi ni afadhali lakini kwa serikalini mshahara wa graduate kama uko kwenye laki 5 au 6 there is no way huyu mtu akatimiza hata yale mahitaji ya msingi kwa mwezi huo, nadhan wanaokimbilia serikalini wanajua kua kule ulaji ni mwingi na kazi hamna kwani salalry inatoka kwenye kodi sio uzalishaji!
 
Enzi hizi chocho zote zimezibwa, vyuma vimekaza
 
Hili swalil inaonekana sasa hivi linazidi kupata jibu lake... kuishi kwa kipato bila ufisadi kwa wengine ni ngumu sana. Labda wakulima tu ndio wanaishi kwa vipato vyao... wengine wetu kila mtu anavuta anapoweza...
 
Majibu ya swali hili aliyatoa mkuu BAK katika post namba 9 na mkuu Susuviri kama sijakosea jina katika post namba 10 na wachangiaji wengine wachache. Huwezi kumlipa mtu hela isiyotosha kwa mahitaji ya lazima na bado ukategemea asitafute namna ya kujitosheleza.
Poleni waajiriwa wa kima cha chini!
 
Kama huu uzi uliandikwa mwaka 2009 kipindi kile cha neema teletele vipi mwaka huu wa magufuli?? Nawaza kwa sauti
 
Mzee mwanakijiji ulitabiri na leo imekua.
 


Amazon product ASIN 144866411X
 
Achana na Alipotaja mkuu
Case Study Moshi Rural
 
Swali la msingi ni kuwa hivi kweli ikiingia serikali makini ikakata mianya yote ya "kipato cha ziada" na kulazimisha watu kuishi kwa malipo yao ya mwezi, wangapi kati yetu wataipigia kura serikali hiyo?
...πŸ€”πŸ€”πŸ€”..wapo watakaoipigia kura tena wengi tu, subiri siku ya uchaguzi utaona.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2012 JK
2020 JPM na hali bado n ile ileee
i thnk tatzo sio viongoz, tatzo ni ss wananchi+serikali kutotambua tatzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Stori tamu Sana, umemaliza vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…