Unaipenda JF? Kweli? Fanya hivi basi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaipenda JF? Kweli? Fanya hivi basi...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invisible, Sep 30, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Naam,

  Umekuwa mwanachama au msomaji tu wa JF huenda umeipenda tovuti hii na ungependa wenzako waifahamu.

  Usisite, fanya hivyo sasa, tumekuwezesha kufanya hivyo na tunaamini utaitumia fursa hii kuwaalika wenzako ili waweze kusoma mijadala anuai ndani ya tovuti hii.

  Unaweza kufanya hivyo kwa kutembelea hii link: https://www.jamiiforums.com/supported.php

  Bonyeza webmail unayotumia kwa baruapepe zako (mfano gmail, yahoo, hotmail n.k) kisha utatakiwa kuandika email yako kwa kirefu mfano invisible@gmail.com kisha weka password yako unayotumia katika email husika (haiji kwetu bali inakwenda kwa wahusika wa webmail yako ku-verify kuwa wewe ndiye) kisha system yao itakuletea list ya anuani za barua pepe ulizo nazo ambapo uta-tick wale ambao ungependa kuwaalika na kisha ambatanisha ujumbe kiasi upendacho ili wafahamu kuwa si spam.

  Unaweza kuwaalika wengine kwa kutumia Outook na kama kuna webmail ambayo unaona hatujaweka ungependa iongezwe usisite kutufahamisha.

  Pia, ni vema kwa wanachama wapya unapowatumia ujumbe wa kuwaalika ukawambia watembelee link hii ili kuweza kujua namna ya kuitumia JF kirahisi.

  JamiiForums - How To

  Hizi ndizo supported webmails:

  [​IMG]

  Shukrani kwa ushirikiano wako
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Ukialika watu, kila atakaye-accept atakuongezea points. Pia itaongeza level yako katika referees wa new members. Haitaonesha username yako kwa unayemwalika. Ukiwa unawaalika wenzako utakuta kwenye list yako ambao tayari ni wanachama wa JF na watakuwa labeled kama "Already Registered"
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  BRAVO,
  kali nyingine hiyo kutoka jf.
  bravo sana
   
 4. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,708
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nimejaribu inafanya kazi poa tuu.

  kuongezea
  hata kama email yako ya JF ni tofauti na unayotumia kwa shughuli zako zingine, unaweza ukatumia email yako ya kawaida ku- import contacts na kuwaalika watu.

  invisible
  ungekuwa unaemail members monthly email za kualika watu JF , na members wana zi forward. email inaambatana na news flani ambayo itamfanya receiver aisome (kama vile ukiwa ume subscribe kwenye magazeti kama FT na mengineyo.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,089
  Trophy Points: 280
  Thank u.
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Semilong,

  Shukrani kwa kuthibitisha kuwa inafanya kazi na pia kwa kuwaelewesha wengine namna gani inafanya kazi.

  Suala la pili tutalifanyia kazi.

  Anytime Boss
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,089
  Trophy Points: 280
  Mi ushauri wangu kwenu jitahidini pia na Tv advertisement, sio expensive kihivyo, uliza rates za TBC1, hasa kama mtatangaza masuala ya nafasi za kazi, dating na nk.

  Umenipata?
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Umesomeka mkuu, tatizo ni moja... TBC1 watakubali? Well, wakubali au wasikubali, gharama nani alipie mkuu? Unaweza kusoma hapa ujue kwanini naandika hivi.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,089
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma mkuu,

  Ni hivi tbc hawana sababu ya kutokukubali.

  Na kuhusu gharama ni sisi members tufanye initiative. Binafsi nilipanga kujitolea but i cant promise that..now, inshaalah after a year from now.....may be... JF ni no 1 website in tanzania but members ni 8,000 tu.

  Kenya face book members ni zaidi ya laki nane.....

  Wapo watanzania wengi ambao jf ingewasaidia sana, but hawana taarifa ...unanipata?

  Thats why naona umuhimu wa tv adverts.....
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Atujaona sapotedi browser ,au zote zinakubalika ?
   
 11. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mkuu nami nimeshawapa mwaliko wale walio kwenye mojawapo ya masanduku pepe yangu.Naomba na wengine waendelee kutoa mialiko kwani ni kitendo cha dakika mbili tu .
   
 12. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #12
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Mkuu, issue ya matangazo ya Tv tunaifahamu muda mrefu lakini angalia kauli yako kwenye maandishi mekundu... Ndo kauli za watanzania walio wengi. Hivi kweli huwezi kupata Tshs 1,000/= ukaichangia JF? Kweli? Mpaka mwakani ndo unaweza kuipata mkuu? Njia zote za kuchangia zimewekwa na zote hukatwi zaidi ya ulichochangia!

  For your records, mpaka ninapoandika stats za JF zipo hivi:

  FaceBook ni tofauti SANA na JF, FB inapata michango na grants na si JF, ndo maana mara zote tunawambia watanzania kuwa ingawa kila kitu ni BURE hapa lakini tukiwezeshwa kidogo mambo mengine yanawezekana kufanyika na kuboreshwa zaidi ya sasa. Angalia list ya waliochangia JF tangu Januari 1, 2009 mpaka sasa:

  Michango JF 2009: Updates

  Mwiba, browsers ZOTE ziko supported. Ukikumbana na ugumu tafadhali wasiliana nasi, tupo hewani muda wote kukusaidia... Unaweza kutuma barua pepe kwenda info@jamiiforums.com nasi tutakusaidia haraka iwezekanavyo.
   
 13. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Hii ngoma inausalama kweli Inv?.
   
 14. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #14
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  YES, nakuhakikishia...

  Tumeiweka ni zaidi ya wiki, tumeijaribu na ndo maana kulikuwa na downtime wakati flani (tukijaribu kujishusha wenyewe) na tumethibitisha iko salama na inaweza kutumika kirahisi na haiumizi kichwa! Kwa ambaye si registered na anahitaji username ya kutumia ili afanye kuwalika wenzake anaweza kuwasiliana nasi tukampa login name ya kutumia na password ili awaalike wenzake.

  Unaweza kujaribu kujitumia mwenyewe na uambatanishe na ujumbe unaotaka ukufikie kisha uone itakufikiaje.
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,089
  Trophy Points: 280
  No mchango wangu mdogo nautoa very soon,

  Niliposema kujitolea nilimaanisha kulipa bajeti ya mwezi mmoja ya tv adverts by myself....
   
 16. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Inv,

  Kwa hiyo nikituma bulk email kwa contacts zangu zote, ina maana itaonekana imetoka JF au kwa Mambo Jambo au kwa Jina langu halisi?..

  Nisingependa contacts zangu wote wajue kumbe mimi ndiyo MJ wa JF, nahakika umenisoma mkuu.
   
 17. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  The Boss,

  We call that - " fake it till you make it syndrome"

  PayPal mchango fasta hata kama hutaandika jina poa tuu.
   
 18. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,648
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  tumekupata kaka..............tunafanyia kazi kuna umuhimu wa jf kuwa kama facebook........tujitoe kwa itakavyowezekana.........
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,089
  Trophy Points: 280

  ha ha ha......do i need to say more????
   
 20. M

  MC JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 743
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Done!

  Naona zoezi limekwenda vizuri,
   
  Last edited: Oct 1, 2009
Loading...