Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

umenifanya nikumbuke mbali.......when I met my man

nimejikuta naona kumbe bado nampenda na kumuhitaji sana kuliko nilivyodhania.....

Nimekufanya ujisikie bombaeeeeee!!!!!!!!!!!
Hongereni na mzidi kupendana!!!!
 
cc: KOKUTONA .....lol!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh!!

Sredi yako imefanya nikumbuke kibao cha huyu kijana wa miziki ya Bongo Flavor...kile cha Inaniuma Sana by Juma Nature

Kulikoni tena mheshimiwa....?????
 
Mleta maada hapa tunatakiwa kukumbuka wapi?wakwanza,tuliowapenda hatukufanikiwa kuwa nao,tuliofanikiwa kuwa nao ama??maana wengne tunashndwa tuwazungumzie wap...hihi
Eiyer
 
Mleta maada hapa tunatakiwa kukumbuka wapi?wakwanza,tuliowapenda hatukufanikiwa kuwa nao,tuliofanikiwa kuwa nao ama??maana wengne tunashndwa tuwazungumzie wap...hihi
Eiyer

Asante kwa swali
Hapa unazungumzia yule aliyetimiza ndoto zako au ulienae sasa aneelekea kutimiza ndoto zako
Umenipata mama??

Haya karibu utiririke sasa!!!!!!!
 
Anajua kua ulikua unatafuta mzungu?
 
Mleta maada hapa tunatakiwa kukumbuka wapi?wakwanza,tuliowapenda hatukufanikiwa kuwa nao,tuliofanikiwa kuwa nao ama??maana wengne tunashndwa tuwazungumzie wap...hihi
Eiyer

umetisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…