donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Me sijui, ndio nini mkuu?
mkuu ni viazi vitamu vinakaushwa juani hivi, af vinakuja kupikwa, vitamu balaa
Sijawahi kujaribu mkuu
tafuta .. ni tamu saana ..
ni chakula asili ya kabila la wasukuma ...kama sijakosea ..
Wapi naweza kupata hiyo kitu kwa hapa Dar mkuu?
tafuta .. ni tamu saana ..
ni chakula asili ya kabila la wasukuma ...kama sijakosea ..
Sijawahi kujaribu mkuu
acha kabisa hii kitu .. ipikwe ilale uje uinywe na chai ya rangib..balaa lake mdomoni ni nomah .