Unaijua love connect pale juu ya MMU?

Unaijua love connect pale juu ya MMU?

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Tatizo la love connect ya Watanzania bado haijawa serious...Ukisema unatafuta basi watu wantakuwa wanakusanifu...Bado wanafikra mbovuuu...

Tunatakiwa tubadilike tuwe serious katika mambo tunayoyafanya ..... Wako wengi wanakosa wenza ila kupost inakuwa ngumu.....

Bora hiyo ya kutafuta wenza iwe ya kulipia kama Elfu kumi then mtu kutoa comment mbovu mbovu itakuwa shida sababu inagharimu...Ambaye yupo serious atalipa sababu anashida ya kutafuta mwenza... Ni mawazo yangu..

Nakazia mode iwekeni hii iwe hivyo na watu watakua serious na wengine tutapata wachumba bila vikwazo.
 
wewe unatafta au? hebu funguka nikuchukue fasta fasta.
 
kipindi kizuri cha kusaka wachumba ni kipindi cha njaa!
 
Unajua hiki kisub forum kimekuwa kama kisima cha kuchepukia kwa wenye allergy na njia kuu ndo maana tunawalima maswali hadi wanapanic na kukimbiza ubahau wao!
 
Tatizo la love connect ya Watanzania bado
haijawa serious...Ukisema unatafuta basi
watu wantakuwa wanakusanifu...Bado
wanafikra mbovuuu..
.Tunatakiwa tubadilike
tuwe serious ktk mambo tunayoyafanya .....
Wako wengi wanakosa wenza ila kupost
inakuwa ngumu.....Bora hiyo ya kutafuta
wenza iwe ya kulipia km Elfu kumi then mtu
kutoa comment mbovu mbovu itakuwa shida
sababu inagharimu.
..Ambaye yupo serious
atalipa sababu anashida ya kutafuta
mwenza...
Ni mawazo yangu..

Nakazia mood iwekeni hii iwe hivyo na watuvwatakua serious na wengine tutapata wachumba bila vikwazo

Sasa anayetakiwa kulipa ni yupi anayetafuta au anayetoa maoni kwa sababu kama wanaotoa maoni sio walipaji wataendelea kutoa mbofu tu.Hebu panga maandiko yako ueleweke!
 
.. Huu ndio ukweli, labda tuangalie dating sites zingine, yawezekana huko watu wapo makini kidogo. Love connect imejaa vijmbe, kejeli na kukatishana tamaa. Walio serious watapata marafiki, ila ukicheza humu utaliwa tu.
 
.. Huu ndio ukweli, labda tuangalie dating sites zingine, yawezekana huko watu wapo makini kidogo. Love connect imejaa vijmbe, kejeli na kukatishana tamaa. Walio serious watapata marafiki, ila ukicheza humu utaliwa tu.

na wewe unatafuta?
 
pm labda ni Prime Meridian teh teh teh
:israel:
 
Wapo wengine wanakuwa serious lakini,
Mie niliweka uzi wangu........... mashallah
........... japo inatakiwa sometimes kuwa makini..........
 
Tatizo haliko Jf tatizo liko mtaani maana wachepukaji na waongo wako wengi. Unaweka unatafuta mchumba kumbe huko mtaani unae tayari unatafuta wa kumchepukia
Mapenzi ya mtandaoni kwa Tanzania bado sana
 
Back
Top Bottom