Unaibiwa?? chukua dawa

Kwanza pole na kikao na yule mmoja wa ma tycoons, hizo habari unazonipa zote nimefuatilia nimekuta ziko poa...... Sasa i dont see any mentioning of me getting the work .... Boss Speaker umeona lakini nilivyotangaza business???

hahahaha,hakyanani!
inabidi ufanyiwe usaili,what can you do kuhusiana na the issue?
so far unaweza kua advertiser mzuri sana,...what else?
 
kwanza kabisa nitahakikisha hizo Note zako watu wanazitazama positively .... yaani badala ya

Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!

Itakua;

Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafuatiliwa katika mawasiliano akagundua anapendwa saana na huyo boyfrnd - mpaka kijana akaonekana hana focus na maisha kwa ajili ya kumpenda; kwa kuridhia wote wawili wakaamua kuachana!

2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo! Ila bahati nzuri alijitetea kwa Vice chancellor wa chuo na akaruhusiwa kufanya upya mtihani - this time alifaulu.

Niambie Boss hio haitoshi ???
 
Hahaha,sawa asha,...
ngoja tuvuke hili daraja tulilopo kwanza,...
tuna tafuta usajili wa kampuni,kuepuka matokeo mabaya ya hii kitu maana
unaweza kushitakiwa kwa kuingilia uhuru wa watu kuwasiliana,...
tuna tafuta kujitetea kwamba kazi yetu ni kutengeneza software,...

dup,complications but ndani ya week ijayo kila kitu kitakua byeee
 
Safi saana....
 
We acha tu, si unajua housewives sometime unakua desperate nawe wataka uchangie walau kidogo home.... Akiniingiza chaka I have people to protect me....LOL
Utajipa presha ya bure tu achana na nii, furahia maisha at the moment
 
Nina doubt na hiyo technology yako

ni PM namba yako,afu nipe siku ya kesho tu!
Then,nita ku-PM movement zako katika mawasiliano ya kesho (juma pili).
please,....ushuhuda wako uta wafaa watu wa MMU
 
Utajipa presha ya bure tu achana na nii, furahia maisha at the moment

The above is noted... I know longer agree that this position is worthy, I will have to beg Bacha for forgiveness for he called us cheater and it seems he may be right....LOL
 
Naihitaji hiyo kitu mkuu!
Lakini hujataja gharama zake au inakuwa bure?

Mkuu sio bure,...
kwa sasa pamoja na mambo mengine tunafanya
cost estimation,..kwenye evaluation ya software ndo tulikua tunatoa bure kwa
watu kujaribu,...
Nita wajuza mda si mrefu kwanzia juma tatu,.!
Kuna jamaa nilikua nabishana nae kwenye PM kuhusu uwezo wa hii software
kumbe ni rafiki yangu na nime mjaribishia i hope atakuja kutoa ushuhuda mwenyewe!
 
Back
Top Bottom