Roho nzuri na utajiri vinaendana tu.Mkuu mimi ninachojua ili uwe tajiri, lazima uwe na roho mbaya. Asilimia kubwa ya matajiri ni wana roho mbaya, wanadhulumu watu mishahara/pesa wakati wao wanaingiza mabilioni, wengi ni wezi(wa kalamu), wafitinishaji, watafanya lolote ili wabaki juu nk.
Roho nzuri na utajiri hata haviendani.
MboNa yapo kabsaMajoka yanayotema pesa ni story tu na sometimes viini macho