Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Mkuu hivi gear box ya suzuki escudo 3 doors (automatic transmission) huwa bei gani?
 
mkuu compressa ya Ac ya IST bei gani ?


taa ya nyuma ya parking ya IST ni kiasi gani

pia switch ya vioo ( kuna kioo kimoja hakifungi )
 
mkuu compressa ya Ac ya IST bei gani ?


taa ya nyuma ya parking ya IST ni kiasi gani

pia switch ya vioo ( kuna kioo kimoja hakifungi )
Compressor ya kawaida 330,000/=
Ya umeme 280,000/=

Mashine ya vioo ile main ambayo inakaa kwa dereva ni 100,000/=
Hizi nyengine zinaenda 50,000/=

Taa ya nyuma zinakuja tofauti yako ni ipi,kuna ile nyekundu plain,kuna nyekundu inakua na mstari mweupe na kuna ile iko na maduara meupe
 
Back
Top Bottom