KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,592
- 3,839
Wanabodi
Jukwaa na shindano la story of change(2023) linafikia tamati.huku watu wakichuana vikali sana nyuzi zao zikiwa zimesheheni votes na madini ya kutosha.
Kwa upande wangu naona msimu wa kwanza 2021 ndo ulikua na moto sana.yani ule msimu kulikua na nyuzi za madini mengi sana,kufundisha kuelimisha.
Msimu wa kwanza 2021 kuna member kama mshana,kapili walikuja na nyuzi pamoja na umaarufu wao hapa JF lakini waliangukia pua vibaya sana,Hii inatokana na ushindani uliokuwepo msimu huo.Achana na sisi kina KENGE ambao uzi haukupata hata comment moja.
Hongera nyingi kwa mwanadada yule aliye ibuka mshindi na uzi wake wa (Umuhimu wa kuwa na dira ya taifa....)
Msimu wa pili 2022
Huu msimu nao ulikua si haba.Watu walikuja na nyuzi nzuri sana lakini kuna jambo linanitatiza kidogo.Mfano aliandika kulwa(Mshindi wa SOC 2022) Uzi wake ulionesha ubunifu alioufanya kwa kuvumbua kifaa cha kutatua changamoto ya umeme kwa wapangaji.
Lakini mpaka kesho picha za icho kifaa hatuwahi kuziona(Labda kuna alieziona atwambie) swali ni Je!Kamati ya majaji ilihakikisha vipi inathibitisha kifaa hicho??Na Je!Ni kweli ni ubunifu au Modification.Yani kuchukua idea sehemu na kuifanyia kazi??
Yote tisa la kumi HONGERA ZA DHATI kwa mshindi wa SO 2022
Sasa tupo hapa SOC 2023
Kwakweli kwa maono yangu msimu huu ulikosa muamko kama ule wa 2021.Nyuzi zilizopo humu kwenye la SOC 2023 haziendani na hadhi ya zawadi .Licha ya dau nono la Tsh 20 Million kuwekwa mezani Lakini bado hatujaona nyuzi za kusisimua akili(nikiwemo na mimi KENGE)
Sasa swali kwa wachangiaji wenzangu wa jukwaa lile la SOC 2023 mnahisi nani ataibuka na ushindi kwa msimu huu wa 2023..Ni akili na vidole tu vitakufanya ushinde wala hutumii nguvu.
Na nyinyi msioshiriki pitieni lile jukwaa msome nyuzi za wadau,kisha mtoe mawazo yenuzkusha mchallenge mtoa mada lakini usiache kumuinua kwa kumpa vote na kumpa moyo bila kujali tofauti zenu hapa jamvini.Kwani JF dakika moja usalama dakika ya pili ni vita
JE UNAHISI UZI GANI UTAIBUKA KIDEDEA SoC 2023??