Unahisi jambo gani ambalo silifahamu unaona shida kuniambia?

Umesema neno jema sana mkuu ,ni vyema kuifanya kila siku kua siku bora kwenye ndoa yako maisha ndio haya hayana marudio ukikosea umekosea ukipata nafasi nyingine weka vitu sawa.

Maisha ni yako hakuna wa kumraumu
Tunapozungumzia somo la mahusiano tunajisahau sana,binadamu wote ni sawa ila hawafanani. Unaniambiaje kuwa muwazi kwa mke/mume wakati huwa siko hivyo? Kuna watu naturally ni wasiri tu,hawaoni sababu ya kujadili ishu zao na inabidi uheshimu faragha zao,wengine ni kama kitabu wazi dk5 tu ushajua yote yanayomuhusu.Cha msingi ni kumwelewa mwenza uliyenaye tu.
 
Labda kama unafanya discussion iwe hai, Ukiwa msiri naturally mahusiano na Mke sio vitu vinavyohitaji kipaumbele kabisa na huwez kuvipa kipaumbele utakua mtu wa kupuuzia tu so be it kaka msimamo nzuri sana
 
Mwanamke kumwambia kila chako/lako huko ni sawa na kumuuzia Adui yako Silaha..

Tujiulize ni asilimia ngapi (iko juu) kati ya Ndoa zenye migogoro, na Ndoa zisizo na mogogoro.

Ukipata jibu hapo...basi utachagua ni njia gani ya kuishi na hawa viumbe..
 
For the very first time, nakutana na uzi wenye positive ideas about marriage!

Maana siku hizi kila Uzi huyu katendwa, huyu kafumaniwa, huyu anachepuka, yule kafanya vile!

Intact, mmekua mkituvunja moyo sisi ambao bado hatujaoa na mmekua mkituaminisha kua ndoa ni kamali.

Kila mtu anazungumzia mabaya ya ndoa as if hakuna mazuri. Hii ni mbegu mbaya for the young generation.

Thanx mkuu, atleast you said something positive!
Siku zote habari mbaya husambaa kuliko nzuri. Asie na shida sio rahisi akaomba msaada bali alie na shida ndie.

Kizuri chajiuza.........

Na nyuzi za hivi huwa hazibambi sana sijui kwanini!! Sijui ni vile watu shida ndio zimejaa hivyo tukisikia shida za wengine tunapata releaf!!!
 
Siku zote habari mbaya husambaa kuliko nzuri. Asie na shida sio rahisi akaomba msaada bali alie na shida ndir.

Blessed
 
Kuna wakati huwa nakata tamaa, nasema sioi.
 
Tunavyopendaga habari mbaya sasa za ndoa. Mtu akileta habari nzuri tu naanza "utakuwa mgeni kwenye ndoa, subiri ifike miaka kadhaa" kiruuuu. Yani nisienjoy ndoa hadi ifikishe miaka 10? Too much negativity
 
Unaposikia habari mbaya nyingi za ndoa haimaanishi kuwa hakuna ndoa zenye habari nzuri, changamoto zipo ndani ya ndoa kama zilivyo tu kwenye maisha ya kawaida ya kifamilia, kikazi na kijamii pia. Lakini huwa tunatafuta njia bora ya kuzitatua hizo changamoto na si kuwa unaacha kazi, au kuikimbia familia.
 
Sawa, ntaoa!
 
Tunavyopendaga habari mbaya sasa za ndoa. Mtu akileta habari nzuri tu naanza "utakuwa mgeni kwenye ndoa, subiri ifike miaka kadhaa" kiruuuu. Yani nisienjoy ndoa hadi ifikishe miaka 10? Too much negativity
Yaani watu wameijengea ndoa negativity hadi kero!! Na uliwazalo ndilo linalokutokea, umeingia ukiwa ushajijaza kuwa nitaenjoy mwaka mmoja tu then baada ya hapo ni maumivu unategemea nini!! Mungu anakupa kile unachostahili, sio ndani ya nafsi unasema haiwezekani alafu mdomo unatamka inawezekana.
 
Back
Top Bottom