Unahisi jambo gani ambalo silifahamu unaona shida kuniambia?

For the very first time, nakutana na uzi wenye positive ideas about marriage!

Maana siku hizi kila Uzi huyu katendwa, huyu kafumaniwa, huyu anachepuka, yule kafanya vile!

Intact, mmekua mkituvunja moyo sisi ambao bado hatujaoa na mmekua mkituaminisha kua ndoa ni kamali.

Kila mtu anazungumzia mabaya ya ndoa as if hakuna mazuri. Hii ni mbegu mbaya for the young generation.

Thanx mkuu, atleast you said something positive!
Karibu sana mkuu life is full of mixture
 
Ni sawa Mkuu,isipokuwa tu ni kwamba hatujifahamu vizuri kama ambavyo tungetamani, Mambo hubadilika. Unachodhani hakipo kinaweza kuwepo tu.Ni mpaka tunapokufa ndipo historia inakamilika.
 
Kazi ni ndogo mfatilie pm muulize last time aliwasiliana na Mimi ni lini kama umeshindwa yote hayo hizo hapo 0782 732960 namba zangu za family hiyo simu anakaaga na mke wangu mwambie huyo niliyemfata PM AKANIRIPOTI KWA MKE WANGU nimeziweka hadharani CONFIDENT,

Tatizo kinachosumbua ni kushindwa kuelewa kuwa hawa wanawake wenyewe wanajua kua tulishawah kua na maisha kabla hatujao.

Kwa kukusaidia Mimi huwa napenda kuweka karibu mambo mengi huku ili kiwe fundisho kwa wengine. Iwe nimeona au kimenikuta. Mr mimi sio wale wajamaa unaofikiri mzee.

Sorry kama nimekukosea but prove that you have manhood in you thank you NAMPENDA MKE WANGU NEVER WILL I BETRAY HER.

In case u wanna be I advised kimahusiano njoo PM ntafute ntakupa mwanga
heee kumbe limbwata ni real eeh
 
Ni sawa Mkuu,isipokuwa tu ni kwamba hatujifahamu vizuri kama ambavyo tungetamani, Mambo hubadilika. Unachodhani hakipo kinaweza kuwepo tu.Ni mpaka tunapokufa ndipo historia inakamilika.
Umesema neno jema sana mkuu ,ni vyema kuifanya kila siku kua siku bora kwenye ndoa yako maisha ndio haya hayana marudio ukikosea umekosea ukipata nafasi nyingine weka vitu sawa.

Maisha ni yako hakuna wa kumraumu
 
Kuna mambo mengine hayafai kuwekwa hadharani kwa mfano, Roma alivyotekwa labda kama ilitokea kaliwa marinda je amwambie mkewe?
 
Back
Top Bottom