Unafutaje kiapo cha laana ili ule mzigo?

Ulipokua unaapa ulimaanisha?
Kama vipi ipotezee hio papuchi tu maana unaweza kufumaniwa na mkeo ikawa third world war
Yah nilimaanisha,maana angeondoka ghafla angeulizwa na angesema shemeji ananitaka kimapenzi,niliapa ili asiondoke
 
Kweli wewe ni Tunguja huna dini wala kabila , maana hufikirii kufanya hivyo ni dhambi na pia mila na desturi zetu haziruhusu.

Ila wewe Kula mzigo mambo mengine utajuaga hukohuko mbele kwa mbele
Dhambi ngapi tunazifanya ndugu yangu,na nina dini ila sina kabila
 
Acha ujinga

Unadhani ukitembea na mdg wa mkeo ndo utakuwa mwanaume zaidi ya hapo

Huna vitu vya msingi vya kufanya katika maisha????????????

Huna malengo?

You are chasing misery..
Imenena mkuu
 
Ana 24yrs hajachakaa bado,chuchu msumari
Bhasi kuwa makini huyo demu sio fala Miaka 6 ipite leo ndo anataka kukupa mzigo kuna case hizi


Either ana mimbaa anashindwa nani wa kumbambika.

Sister ake alishtukia sasa anataka asionekane mbaya
wewe ndo uonekane unaforce toka siku nyingi akukamtishe.

Ana shida ya pesaa.
 
Duuuih 6 yrs lol, aseeeeeeeh hatareeewh sana, ila mashemeji punguzeni ufuska aaaaaaah.
 
Bhasi kuwa makini huyo demu sio fala Miaka 6 ipite leo ndo anataka kukupa mzigo kuna case hizi


Either ana mimbaa anashindwa nani wa kumbambika.

Sister ake alishtukia sasa anataka asionekane mbaya
wewe ndo uonekane unaforce toka siku nyingi akukamtishe.

Ana shida ya pesaa.
Kama anataka kunipakazia mimba atachemka,na Kama ni mtego hanaswi mtu
 
Duuuih 6 yrs lol, aseeeeeeeh hatareeewh sana, ila mashemeji punguzeni ufuska aaaaaaah.
Punguzeni uzungu mbele ya mashemeji zenu sisi wengine waafrika,Mara umevaa ki min skirt mara umevaa sijui kitop mbele ya shemejio unatarajia nini,hakuna shemeji mkorofi bila kukorofishwa,ukiishi na mdogo wako kike hakikisha anavaa nguo zenye kusitiro maungo,na usiwe na ukaribu na mumeo
 
Miaka sita iliyopita mlitembelewa na shemeji yako mdogowe kike mkeo, baada ya kukaa miezi kadhaa mnazoeana sana na shemejio, yale mazoea unayatafsiri kwa tafsiri unayoijua wewe siku ya siku unamtamkia kwamba unamtaka kimapenzi, shemeji anakataa.

Kama kawaida ya mwanaume haamini katika kukataliwa mara moja lazima akomae mara kadhaa, unakomaa mara tatu ukimtaka shemeji yako, mwisho shemeji anakwambia "Kama mambo yenyewe ndio haya basi narudi kwetu sikuja hapa kufanya mapenzi nawewe najiheshimu nakuheshimu wewe na dada yangu pia,nimekuwa nikikaa na dada zangu mara nyingi lakini waume zao hawajawahi kunivunjia heshima Kama unavyofanya wewe,ngoja niondoke tu niende kwetu.

Mzee baada ya kusikia hayo maneno unachanganyikiwa unamuomba msamaha unamsihi sana asiondoke na unamhakikishia hutarudia tena, shemejio anashikilia msimamo wake wa kuondoka.

Mzee unaamua kula kiapo mbele yake, unaapa kwa jina la Mungu hutarudia tena na ikitokea ukarudia laana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako, baaada ya kiapo shemejio anakusamehe maisha yanaendelea mwaka mmoja baadaye anarudi kwao. Akiwa huko kwao baada ya kimya cha muda mrefu shemejio anakukumbuka kwa ujumbe mfupi akikujulia hali mnaanza kuwasiliana mara kwa mara, kila ukimuuliza dada yake kama anawasiliana na mdogo wake anakwambia wana muda mrefu hawajawasiliana, unaanza kujiuliza huyu vipi inakuwaje haipiti wiki bila kuwasiliana na mimi ila hawasiliani na dada yake.

(Imekuwa ndefu sana nifupishe), mwisho wa siku anakutumia ujumbe umsamehe kwa kilichotokea miaka sita iliyopita ulikuwa utoto Ila kwa sasa yuko tayari, mzee ulishakula kiapo na mzigo unavutia hatari, unafanyaje hapo je kiapo kinafutika?
Uli apia kutomtongoza na si kula papuchi
 
Back
Top Bottom