Unafurahi Magufuli kubana, jioni unaniomba nikutoe hela

Huyu mtani wangu ni mtumishi wa umma,lakini ni ukawa damudamu,na tangu posho na safari za kikazi zipungue huko kwa mwanamehesabu mkuu,yaani amekosa amani kabisa..
mkuu mimi niko vizuri sina haya ya kukosa amani nachofanya ni kuwasilisha ujumbe toka ofisi za umma kwenda kitaani.
 
Kuna mzembe mmoja kanikuta nagonga nyagi yangu kwa amani eti anataka nimtwange na viheinneken viwili. Nyambaf! Anafikiri mimi ndo sipendi kuongeza damu kwa maji safi tokea kwa wakoloni??
Kama angekuwa mrembo @evelynsalt usingemgonga na Windhoek?
Acha uchoyo Babu
 
Hahaha muambie ajitumbue wala huhusiki na hayo.

Mwendo ni konyagi na matango, tunafanya diet atuwache.
Kuna mzembe mmoja kanikuta nagonga nyagi yangu kwa amani eti anataka nimtwange na viheinneken viwili. Nyambaf! Anafikiri mimi ndo sipendi kuongeza damu kwa maji safi tokea kwa wakoloni??
 
Mkuu hata nikilalamika anko magu kubana hakuna kitakachobadilika kilichobaki acha tuisome namba kuna watu walifikiri watakaoisoma namba ni wasomali
Sio Wasomali bhana,walifikiri vyama vya upinzani tu ndio wataisoma namba,sasa mikia imekimbilia katikati ya miguu,subirini tu,iko siku mtaambiwa mfunge mikanda kwa miezi 18 ya shida,halafu itakuwa miaka 108,eti sukari isiagizwe nje ila kwa vibali,itakuja wakati kama uleeee wa ujamaa,gari ikikata fan belt inakaa hapo hapo mpaka inaoza coz fan belt nchi nzima hakuna,na basi la kijiji likiharibika inabidi waitwe waganga wa kienyeji kutambika na kujaza matunguli na hirizi kila kona ya basi eti TWALOGAGWA NKOI,kumbe spea hakuna nchi nzima.
 
Chadema ni bora mngejikita kuhoji ni kwa nini Mbowe aliuza chama chenu???

Naamini bila mbowe kuuza chama msingekengeuka kiasi hiki.

Leo mnapinga kila kitu na kujidai mnadai democrasia wakati ndani ya chadema hamna hata tone la democrasia.
Kwa akili kama zako,hii nchi itabakia ya wanywa gongo na vibaka tu,sasa Mbowe kaingiaje hapa,kama kauza chama ndio watu waache kufikiria maisha na jinsi ya kuikosoa serekali eti kwa sababu Mbowe kauza chama,wewe unamsema Mbowe wakati yeye wala hajui wewe unapigika kiasi gani,yeye anakula bata na wala humpunguzii wala kumuongezea kitu,kunywa viroba vyako upate stimu usahau kidogo ukali wa maisha japo kwa usiku mmoja.
 
Hii hali imebana kiukweli leo nimeshangaa Halimashauri ya mji inanipiga faini ya 50, 000 kwa hali hii hata bila huruma!!!!!
 
Kwa akili kama zako,hii nchi itabakia ya wanywa gongo na vibaka tu,sasa Mbowe kaingiaje hapa,kama kauza chama ndio watu waache kufikiria maisha na jinsi ya kuikosoa serekali eti kwa sababu Mbowe kauza chama,wewe unamsema Mbowe wakati yeye wala hajui wewe unapigika kiasi gani,yeye anakula bata na wala humpunguzii wala kumuongezea kitu,kunywa viroba vyako upate stimu usahau kidogo ukali wa maisha japo kwa usiku mmoja.
Mbowe aanze kuitisha maandamano jimbo la Hai kwanza, hatutaki maandamano Mwanza.
 
mzee wetu anaongoza vizur ila baadhi ya maamuz anawaumiza wanyonge nikiwemo mm.
Kuajiri mpaka miez 2 ipite kisa watumishi hewa?
Wanafunz wa udom
mengine mtaongezea.
Ngoja tuisome namba tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom