Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Inabd tumwongeze Jiwe 5tena nafkir kutakuwa amna mada za dizain hii...!
 
Hapa Afrika sababu kuu ya mwanamke kukimbilia kuolewa ni sababu za kijinga za kitamaduni,yaani mwanamke asipoolewa huwa ni aibu na huwa anatengwa na familia pamoja na jamii.Hizo sababu nyingine ni ndogo ndogo.
 
Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.

Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
Umemaliza, na ukiona package yako imekua ngumu kuipata, Kaaa na baba yako.
 
So the root cause of marital turbulence is MONEY?
U bwtter bliv that bby! Hilo halipingiki kabisa research kibao zimeonyesha hilo mwenye nina ndugu yangu alikuwa yupo kwenye mambo ya ngoma haya sasa katika research waliulizwa wake kwa nini ulichepuka? U guessed it....." Matatizo ya hela ya mume wangu"
 
Ukitambua kwanza uwepo wa muumba utaweza pata maana ya kuwa na ndoa
Ila wanadamu tuna yetu mengi ndo sababu hizi mambo tunaona tuzitengeneze mazingira kama zina ulazima kuwepo
Wengine wameenda mbali na kuona jinsia 1 ndo mpango


Jua lipungue kiasi maana dunia kwa moto

Dunia inapaswa watu wawe mume na mke
 
...unaposema "jinsia mbili kinzani" unamaanisha nini?
 

Ndoa ni Fumbo
 
Wee hiyo poverty entera through the door love escapes through the window usiidharau kabisa.....ndio number one cause of marital problems.
Ni kauli yenye uzito sana kudadadeki. Yani hapo tu ndipo mzizi wa migogoro katika ndoa.
 
So the root cause of marital turbulence is MONEY?
Ofcourse, it can not be neccessarily money if you both have a mutual understanding. Kukosekana kwa pesa ghafla wakati ilikuwepo kuna solvika kwa mipango yenu wawili tu.

The problem is when one of the spouses gets annoyed with the situation and decides to be harsh and unsupportive while pushing blames to the other partner.

But if both parties decide to take responsibility during such tough times then the bond gets even more better.

NB: Siongei kwa kukandamiza ila ni ukweli kuwa wanawake wa kileo hawako tayari ku take responsibility kama ilivyokuwa kwa mama zetu huko kitambo. Haimaanishi walikuwa hawapitii ugumu wa kiuchumi ila they were supportive patners na sio walalamishi.

Ila kwa sasa mwanaume ukioa kama breadwinner ikatokea namna mipango imeyumba ukawa huna kitu i assure you that you are just 1 step before divorce. Utakuwa very depressed na mke badala ya kuwa supported emotionally. Mwanamke atakunyanyasa mno during that hard time.
 
Mkuu hvi mwanamke akikunyanyasa Sana during hard times ...je Ni busara kuendelea kua nae pale Mambo yakirudi kua poa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hayo yote ila nachojua anafuata kupigwa picha
 
Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.

Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
duh!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani utatukanwa matusi ya ajabu mpaka ushangae.
 
Acha tu mkuu na ndio maana vijana tunakuwa waoga kuoa tunaona bora tuendele na Trial Mode tu. Unaonja hapa...pale...kule n.k

Maana vipato vyetu wengi ni vya kuunga unga tu.
Huo ndio ukwwli ambao ata wazazi inabidi waelewe. Vijana kweli tungependa kuoa lakini vipato tia maji tia maji ...wenzetu hawa wengi wao hawana uvimilivu mambo yakiyumba. Sasa bora tugegede tuu bila kupeana stress za ajabu ajabu.
 
Hapa majibu ya jinsia ya mtu na mtu mmoja na mwingine lazima yatofautiane. Fundamental question is why do you get married?
Well if you ask me, the answer is to stay out of fornication that is all.....mic dropped
 
Kweli kamanda
Huo ndio ukwwli ambao ata wazazi inabidi waelewe. Vijana kweli tungependa kuoa lakini vipato tia maji tia maji ...wenzetu hawa wengi wao hawana uvimilivu mambo yakiyumba. Sasa bora tugegede tuu bila kupeana stress za ajabu ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…