Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Falsafa ya Ramadhan ni pana kuliko unavyoifikiria.Ivi kwanini mtu Km huvai kitu fulani ghafla kujifanya unavaa??? Naona wasanii wengi Wakristo kwa waislamu kujifanya wanavaa Abaya au hijab au kanzu kwenye kipindi cha Ramadhani when walikuwa hawavai hata Km waislamu? Why? Hata izo sala si mliambiwa kila siku why kw ramadhani tu hata Km Muslims consider it holy month ok; tuachane na Muslims na hao Christians kuvaa kanzu Km akina Mbowe cjui Jokate kuvaa abaya cjui nan? Why unafki Km it's not your style au your religious observance why the hypocrisy? Vaa what u like all days kwa heshima tu and meet anyone. Ukienda kukutana na Mufti cjui Pope co lazima uvae Km wao. Mi Km mtu havai Km mie all days then siku anakutana na mie anajifanya kavaa Km mie namuumbua hapo hapo. Km jeans it's your thing keep wearing it, Km suits keep wearing it, Km bazee keep doing Km abaya na hijab fine ila usijifanye kuvaa ki unafki. Sipendi sana Km mtu ajifanye anaongea kichina au Spanish when hajui. Ovyo sana. Let's stop.
HakikaaaaFalsafa ya Ramadhan ni pana kuliko unavyoifikiria.
Faiza upo,nilijua umeenda arabuni.Falsafa ya Ramadhan ni pana kuliko unavyoifikiria.
Nani alikwambia au ulisoma kitabu gani cha imani kinasema kanzu na hiyo sijui habaya ni vazi la waislamu au la dini fulani?Ivi kwanini mtu Km huvai kitu fulani ghafla kujifanya unavaa??? Naona wasanii wengi Wakristo kwa waislamu kujifanya wanavaa Abaya au hijab au kanzu kwenye kipindi cha Ramadhani when walikuwa hawavai hata Km waislamu? Why? Hata izo sala si mliambiwa kila siku why kw ramadhani tu hata Km Muslims consider it holy month ok; tuachane na Muslims na hao Christians kuvaa kanzu Km akina Mbowe cjui Jokate kuvaa abaya cjui nan? Why unafki Km it's not your style au your religious observance why the hypocrisy? Vaa what u like all days kwa heshima tu and meet anyone. Ukienda kukutana na Mufti cjui Pope co lazima uvae Km wao. Mi Km mtu havai Km mie all days then siku anakutana na mie anajifanya kavaa Km mie namuumbua hapo hapo. Km jeans it's your thing keep wearing it, Km suits keep wearing it, Km bazee keep doing Km abaya na hijab fine ila usijifanye kuvaa ki unafki. Sipendi sana Km mtu ajifanye anaongea kichina au Spanish when hajui. Ovyo sana. Let's stop.
Rais mwenyewe kasema alikuwa anavaa jeans na T shirt mpaka alivyoingia kwenye siasa akaanza kuvaa hijab.Ivi kwanini mtu Km huvai kitu fulani ghafla kujifanya unavaa??? Naona wasanii wengi Wakristo kwa waislamu kujifanya wanavaa Abaya au hijab au kanzu kwenye kipindi cha Ramadhani when walikuwa hawavai hata Km waislamu? Why? Hata izo sala si mliambiwa kila siku why kw ramadhani tu hata Km Muslims consider it holy month ok; tuachane na Muslims na hao Christians kuvaa kanzu Km akina Mbowe cjui Jokate kuvaa abaya cjui nan? Why unafki Km it's not your style au your religious observance why the hypocrisy? Vaa what u like all days kwa heshima tu and meet anyone. Ukienda kukutana na Mufti cjui Pope co lazima uvae Km wao. Mi Km mtu havai Km mie all days then siku anakutana na mie anajifanya kavaa Km mie namuumbua hapo hapo. Km jeans it's your thing keep wearing it, Km suits keep wearing it, Km bazee keep doing Km abaya na hijab fine ila usijifanye kuvaa ki unafki. Sipendi sana Km mtu ajifanye anaongea kichina au Spanish when hajui. Ovyo sana. Let's stop.
Najua mtu yoyote anaweza kuvaa ila why mpk ukutane na watu fulani ndo unavaa au mpk kw Ramadhani ndo unavaa??? Ni unafki na cjaongea kwa chuki ila nimeweka facts tu. Miezi 11 yote uvae jeans na suti but kw Ramadhani ndo abaya na hijab hapana ni unafkiNani alikwambia au ulisoma kitabu gani cha imani kinasema kanzu na hiyo sijui habaya ni vazi la waislamu au la dini fulani?
Punguza kuhemkwa na chuki... Wewe ni mtanzania na wao ni watanzania pia.. waache wavae watakavyo cha msingi hawavunji maadali ya mtanzania
jifunze kusoma bila kukurupuka? Wapi nimesema itungwe sheria kuzuia nani avae nani? Tena ndo hao wenye dini wenye itikadi izo. Mie nimepoint unafki tu Km nikisema kuvuta sigara inanikera cjasema zuia.Tumeanza lini kupangiana mavazi na hujatoa hata mia kumnunulia
Nikuulize... Hua unashinda na suti ndani kwako? Au hua unavaa bukta ukienda sehemu ya Ibada?jifunze kusoma bila kukurupuka? Wapi nimesema itungwe sheria kuzuia nani avae nani? Tena ndo hao wenye dini wenye itikadi izo. Mie nimepoint unafki tu Km nikisema kuvuta sigara inanikera cjasema zuia.