Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,275
- 61,231
Anawaza kutoboa ukuta, amechoka kuchota
Dalili za DOWN SYNDROME hizi, pole mkuu, nenda hospitali.Duh!
Kulia anataka, kucheka anataka, kulaumu anataka! Kinachomduwaza ni yale mazoea ya kuisifu ccm. Anataka kusifu na kupongeza pengine bashite ataamuru maji yasepe.
Eeh!Dalili za DOWN SYNDROME hizi, pole mkuu, nenda hospitali.
Ukizingatia nyumba imepigwa x za kutosha aseeeHajui hata pa kuanzia.
Nadhani atakuwa anawadha jinsi ya kuanzisha ufugaji wa samaki[emoji23]