Unafikiri jamaa anawaza nini hapo...

Unafikiri jamaa anawaza nini hapo...

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,272
Reaction score
987
22853212_1920729724857419_1671121595338930601_n.jpg
 
umaskini huu! dah! hapa saivi ngekuwa kwenye ghorofa na tabu zote hizi ningezisikia redioni tu!
 
Duh!
Kulia anataka, kucheka anataka, kulaumu anataka! Kinachomduwaza ni yale mazoea ya kuisifu ccm. Anataka kusifu na kupongeza pengine bashite ataamuru maji yasepe.
Mh sasa nyumba kujaa maji inahusiana vp na ccm ikiwa mpaka florida maji yanajaaga ndani mkuu mbna haupo serious
 
Mh sasa nyumba kujaa maji inahusiana vp na ccm ikiwa mpaka florida maji yanajaaga ndani mkuu mbna haupo serious
Umetumia kipimo cha walevi kujua umakini wangu, TAHADHARI:
USIJARIBU KUVUKA BARABARA MPAKA DENGERUA IKUISHE KICHWANI.
 
Atakuwa anawaza: dah! Ningejua ningehama tulipoambiwa tutoke hapa.
 
Back
Top Bottom