Hivi viongozi wa Simba huu uwanja wa Majaliwa Stadium hamjauona mpaka mkachague Uwanja wa Jamhuri Morogoro mliwaza nini?

Hoja ya mashabiki sio kweli timu hizi mbili zina mashabiki kila pembe ya nchi hii..labda tabu iwe Kwa wale wafia timu ambao kila mechi waga hawakosi lakini na wao sio wengi kiasi iko.
Ukitaka kujua hili angalia mechi zao za away utaona hizi timu mbili mashabiki wao wanakua wengi kuliko wenyeji.
 
Moaka leo najiuliza kwanini hawataki kutumia uwanja wa Azam. Ndo utaamini pale simba kwa uongozi anaanza Mganga(mpiga ramli wa timu) then Mo halafu chini yao ndo kina Mangungu na Try Again
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom