Unafiki, wivu na tabia ya kulalamika na kulialia kwa wakenya kwazidi kudhihirika.(watch video)

Kwani wenye tabia ya wanaume mabinti sie nyie vibogoyo wa Dar is a slum.....Full gossip vile tu umeandika hapa.Kweli nyani hamna siku ataona kundule....
 
Ndio nitapata fursa ya......
Mbona hawaji? Si uwatangulize mwoga wewe.Kazi yako kujisifia humu na unaogopa hata mende! Bure kabisa!
Wachana na huyo boya. Yeye bado anapiga tarumbeta kwa niaba ya alshabaab ilihali kwa wakenya ilishaa kuwa ndwele, ni kazi tuu wanachapa kuboresha uchumi, nkt!..
 
Mi nafikiri wapo sahihi wasanii wa kenya nazani wameona ilo gap la kutochezwa ngoma zao ktk redio station nafikiri kenya kuna redio station nyingi kali kali so wasanii wakipata airtime watakuwa ma busy kufanya ma interview na kutambulisha ma song apparently watapata shows nyingi ndani ya kenya mpaka the rest of EAC
 
Hahahaha, Leo kwasababu Bongo fleva imetawala Kenya, wanasema Tanzania ni nchi ya kigeni, ila bidhaa zao zikizuiliwa kuja Tanzania wanazungumzia spirit ya EAC, kwani mziki wa Tanzania sio bidhaa kama bidhaa zingine za EAC, vipi waanze kuzibagua na kusema unatoka nchi za nje kwahiyo usipigwe Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ah ndugu yangu ww mtu kwaoo na mtu chakeee bana
 
Back
Top Bottom