Unafiki wa viongozi wa CHADEMA huu hapa

Unafiki wa viongozi wa CHADEMA huu hapa

Ukweli mtupu

Lakini nyumbu hawawezi kukuelewa
Nyumbu wao hufuata mkumbo tu. kuna kijana anaitwa MUSSA ALLAN, namsikitikia sana. Kuna siku nilimuota yeye ni BAVICHA akaja juu na kung'aka ile mbaya. Kumbe mimi nilijua nini kitatokea. Sasa huyoo yupo BAVICHA na amejitoa ufahamu kweli kweli
 
Ukawa hawana vijana wa kujenga hoja nzuri ili kupinga hoja za vijana wa CCM, matusi na lugha chafu haitasaidia kuwaeleza vijana wa CCM hazma za Ukawa kwa taifa letu Tajiri lakini bado huonel

Mkuu UKAWA kwa sasa hakuna vijana Kuna wavuta bangi na wanywa viroba.kazi yao matusi mitandaoni.
 
Kwa hadhi aliyokuwa nayo bwana mamvi katika Jamii na serikali kwa wakati ule kumfukuza katika nafasi ya uwaziri mkuu ilikuwa ni hatua tosha kabisa.
Inavyoonekana akina MUSSA ALLAN wamesahau kabisa mapendekezo ya ile Kamati Teule. Kamati ilikuwa specific kwa Lowasa kwamba ajipime mwenyewe. Yeye akapna kuachia ngazi ndo kujipima. Kama Kamati ingeshauri kuwa Lowasa ashitakiwe then serikali ikashindwa kumshitaki hapo wangeendelea kuilaumu Serikali
 
Mkuu UKAWA kwa sasa hakuna vijana Kuna wavuta bangi na wanywa viroba.kazi yao matusi mitandaoni.
Nashangaa sana. Huyu MUSSA ALLAN akiwa CCM alikuwa anajenga hoja kweli mpaka BAVICHA wanatetemeka. Ila baada ya yeye kwenda huko BAVICHA na kuanza kuvuta bangi hakika namsikitikia sana
 
Najuta kusoma upuuzi kama huu.japo mimi ni team magufuli na mwana ccm ila umeandika pumba kabisa
Bora nihamie ukawa maana mbeya na dar na arusha pamesisimika tutakomaje ccm?
ww hauna sifa ya kuwa team magu!!ushakuwa mnafiki muongo kaa pembeni
 
Nyumbu wao hufuata mkumbo tu. kuna kijana anaitwa MUSSA ALLAN, namsikitikia sana. Kuna siku nilimuota yeye ni BAVICHA akaja juu na kung'aka ile mbaya. Kumbe mimi nilijua nini kitatokea. Sasa huyoo yupo BAVICHA na amejitoa ufahamu kweli kweli

Ulimuota anakupa dozi asubuhi ukakimbilia bafuni kuoga.
 
Mkuu, sidhani hawa hata hiyo akili ya kufikiri wanayo. Nadhani hawa wanajiendea tu ka gari lililofeli breki mteremkoni

Afadhali gari lililofeli breki linaweza kusimamishwa kwenye tuta, hao daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa alishawaita "indigo child" aka misukule. Humuhumu JF.
 
Last edited by a moderator:
Huyu anaweweseka tu,sisi tumemwelewa lowasa na ndio chaguo letu!Pinduka,weka miguu 90 degrees,ning'inia,galagala,chutama,inuka mwisho wa Siku unakutana na jibu moja tu,Lowasa ni chaguo letu!
 
Kaaa! Huwa nashangaa ujasiri wa kijinga wa huyo Liza, nilidhani ni paja shume tu mwenye roho ngumu kumbe hata binadamu, hii hatari sana. Hata picha tu haoni! Ni meona hata mheshimiwa sna amekiri kufungwa na timu dhaifu sna! Mnalo mwaka huu! Ebu washauri viongozi wako waache kejeli na matusi kwa wapiga kura wenu, mkiendelea kuwaita, Maji taka, oil chafuuu etc October mtajikuta mna nuka kwa huo uchafu wao, maana utakuwa umetapakaa kila sehemu.
 
Hata waweje nawapenda CDM mpango ni CCM ing'oke na itang'oka tu. Maneno yenu hayatatubadilisha.
 
Mtaongeaengi sanaaa akili moja nivigumu kuzitawala ski nyingu
 
Afadhali gari lililofeli breki linaweza kusimamishwa kwenye tuta, hao daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa alishawaita "indigo child" aka misukule. Humuhumu JF.
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiii. Yaani mpaka Padre wa Kanon kawageuka basi watakuwa wamejitoa kabisa ufahamu
 
Lizaboni kihoro kitakuua bure. Huyo Edo na hayo mnaita makapi ndiyo yamekuwa LIFELINE ya ccm miaka yote hiyo. Mbona hamkuwafukuza ? Kwa nguvu zao ndani ya CCM mlishindwa kuwawajibisha. SASA ni wakati wa EDO kuwachinjilia mbali. Amewabomoa na atawazika mazima hadi mbakie kwenye vitabu vya historia.
 
Back
Top Bottom