walitaka ku-mfix lowassa kwa sababu zao wanazozijua wao.
Hili mapema zitto aliliona akashauri serikali inunue ile mitambo,lakini kwa sababu nchi ya wanasiasa kila kitu kinaendeshwa kwa siasa hakuna cha maana,tunakuja kukumbuka shuka kushakucha,mambo mengine yakitaalamu wangeachiwa wataalamu wanasiasa wangekaa pembeni,lakini kila kitu tunaamuliwa na wanasiasa maendeleo yatakuja mwaka 3000
Dowans wameshinda kesi ya Kimataifa , fedha wanalipwa, mitambo walioisema chakavu imeuzwa na ndiyo inatumika mpaka leo.
Hawa wameisababishia taifa hasara kubwa sana. Kama serikali ingenunua hii mitambo tungekuwa tumekwepa kununua umeme kwa gharama kubwa sana.
Hawa watu hawastaili kuwa viongozi kabisa. Chuki walizokuwa nazo kwa Lowassa zimekuja kuigharimu nchi.
HAWA WATU NI HATARI KWA TAIFA HILI NI WAKUOGOPWA KULIKO UKIMWI
Mkuu, na option nzuri iliyokuwepo na ingetuokoa wakati ule ilikuwa ni Kuinunua ile Mitambo kama alivyosgauri Zitto Kabwe. Lakini watu wakaanza kumwona siyo!
qK?kpDowans wameshinda kesi ya Kimataifa , fedha wanalipwa, mitambo walioisema chakavu imeuzwa na ndiyo inatumika mpaka leo.
Hawa wameisababishia taifa hasara kubwa sana. Kama serikali ingenunua hii mitambo tungekuwa tumekwepa kununua umeme kwa gharama kubwa sana.
Hawa watu hawastaili kuwa viongozi kabisa. Chuki walizokuwa nazo kwa Lowassa zimekuja kuigharimu nchi.
HAWA WATU NI HATARI KWA TAIFA HILI NI WAKUOGOPWA KULIKO UKIMWI
Na hiyo ndio ilikuwa njia sahihi ya kufanya tokea mwanzo ila sababu ya unafiki wa hawa wajamaa wakaamua kuingiza taifa kwenye gharama zisizo na msingi.