babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 702
- 490
Nimejaribu kufatilia mwenendo wa Mr. President D. J. Trump, nimeshindwa kupambanua je vitendo vya rais huyo kupingana na kumwona mtangulizi wake Mr. B. H. Obama kana kwamba c chochote ktk yale aliyoyafanya enzi ya utawala wake, je ni nia njema kwa wananchi wamarekani au chuki zake binafsi tuu kwa bwana Obama?
Mfano juzi hapa tuliona akipambana sana kuhakikisha muswada upitishe kuondolewa kwa foundation ya afya ya awali ya obama care ambayo ilikuwa ni mkombozi wa wananchi wengi na kutaka kuweka mfumo wake mpya..
Je, anachofanya ni kwaajili ya mapenzi ya dhati kwa WAMAREKANI au ni "personal attack" kwa Rais aliyepita mr. Barack Hussein Obama?