Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Maajabu hayaishi Dunia hii, baada ya shambulio la risasi huko El Paso na Dayton USA, raisi aliyepita Obama ambaye aliongoza miaka 8 amemlaumu Raisi D.Trump kwa kushindwa kupitisha sheria kali dhidi ya umilikaji wa Silaha kali.
Sasa kwa nini yeye hakufanya alipokuwa Raisi wa USA? Ikumbukwe kwamba kipindi cha kwanza Obama alikuwa na 60% majority congress, sasa kwa nini hakubadilisha hizo Sheria leo hii anamlaumu D.Trump?
Sasa kwa nini yeye hakufanya alipokuwa Raisi wa USA? Ikumbukwe kwamba kipindi cha kwanza Obama alikuwa na 60% majority congress, sasa kwa nini hakubadilisha hizo Sheria leo hii anamlaumu D.Trump?