Unafiki wa Mbowe na vibaraka wake kwa watanzania

safi sana kiongozi...huyu mbowe ni political opportunist aliyetaka siasa kama extension ya biashara zake na kua karibu na wakubwa wanaotawala na mfumo mzima wa utawala..hamna kingine zaidi ya hilo
 
Dogo hata mimi nimezimia; si kwamba nilitegemea Mbowe kuwa mkombozi sahihi bali kwa jinsi hoja yako ilivyosimama kuhusu ukweli kwamba Tajiri hakuwahi na wala hatowahi kumkomboa mnyonge wakati wowote katika maisha haya. Sisiemu hatuitaki lakina mkombozi hajatokea bado na kwa maana hiyo wataendelea kudunda kwa sana miaka na miaka

Moshood Kashimawo Olawale Abiola was born in Abeokuta, Ogun State.[SUP][1][/SUP] His name, Kashimawo, means "Let us wait and see".[SUP][2][/SUP] Moshood Abiola was his father's twenty-third child but the first of his father's children to survive infancy, hence the name 'Kashimawo'. It was not until he was 15 years old that he was properly named Moshood, by his parents.
MKO showed entrepreneurial talents at a very young age, at the age of nine he started his first business selling firewood. He would wake up at dawn to go to the forest and gather firewood, which he would then cart back to town and sell before going to school, in order to support his old father and his siblings. He later founded a band at age fifteen where he would perform at various ceremonies in exchange for food. He eventually became famous enough to start demanding payment for his performances and used the money to support his family and his secondary education at the Baptist Boys High School Abeokuta, where he excelled. He was the editor of the school magazine The Trumpeter, Olusegun Obasanjo was deputy editor. At the age of 19 he joined the National Council of Nigeria and the Cameroons ostensibly because of its stronger pan-Nigerian origin compared with the Obafemi Awolowo-led Action Group.[SUP][3][/SUP]
 
Dah.... uongo ukivuma sana huaminiwa.

Tumekuskia kwa hii thread utapata gawio kubwa leo kupita wote pale lumumba.

Kwahiyo umeweka namba ili tukupigie uje tukuuwe au ni ujinga unakusumbua msakatonge.
 
Another dolt looking for political relevance.

MESEJI YA MBOWE HII HAPA.
------------------------------------------------------
‘’bwana kabunju, salaam. Rejea Mazungumzo yangu kuhusu Mhe.Joyce Mukya ambaye yuko safarini. Nitashukuru akibadilishiwa booking yake aweze kuondoka New York Tarehe 1 Dec siku ya Jumaapili kurejea Dubai na Kuunganisha Dar Tar3Dec. Mbowe,KUB.Cc Mhe.Joyce Mukya’’

--------------------------------------------------------
DAH. HII NI FEDHEHA YA AINA YAKE, na haya ndio yanayoitwa matumizi mabaya ya Madaraka, sijui kwanini Tunaoa ikiwa hatuwaheshimu na kuwajali wake zetu mbele ya jamii. pole sana mhasherati mbowe. tutaendelea kuambizana ukweli tu.

Habibu mchange
0762178678
 
Ninaamini Chedema kinawauma wengi, Mbowe anawaumiza kichwa wengi, Kama vipi, Mwigeni Mkwawa mkarest in peace
 
Mimi nina swali hapa .Aliiyetumia pesa za walipa kodi vibaya ni Mukya anayetakiwa arudishe au ni Mbowe mwenye pesa zake kuanzia zamani ?
Sasa tumesha soma ya Machanga aliyo yaandika hii itainusuru CCM na shida za watanzania ?
Magazeti kuandika najua TZ waandishi makanjanja na wengi karibu na msimu wana nunulika si ajabu .
 
MESEJI YA MBOWE HII HAPA.
------------------------------------------------------
‘’bwana kabunju, salaam. Rejea Mazungumzo yangu kuhusu Mhe.Joyce Mukya ambaye yuko safarini. Nitashukuru akibadilishiwa booking yake aweze kuondoka New York Tarehe 1 Dec siku ya Jumaapili kurejea Dubai na Kuunganisha Dar Tar3Dec. Mbowe,KUB.Cc Mhe.Joyce Mukya’’

--------------------------------------------------------
DAH. HII NI FEDHEHA YA AINA YAKE, na haya ndio yanayoitwa matumizi mabaya ya Madaraka, sijui kwanini Tunaoa ikiwa hatuwaheshimu na kuwajali wake zetu mbele ya jamii. pole sana mhasherati mbowe. tutaendelea kuambizana ukweli tu.

Habibu mchange
0762178678

Nimeuliza hivi ilikuaje Bunge libadili ratiba ya safari ya Mbunge bila sababu za msingi?Sasa kama ndivyo,huoni uongozi wa Bunge ndio ulioruhusu matumizi mabaya kwa logic hiyo?

Sitaki kujadili tuhuma zako za wizi wa simu ila nimeamua kuuliza kwa logic hapo juu tuwekane sawa kwanza kwenye mjadala huu
 
safi sana kiongozi...huyu mbowe ni political opportunist aliyetaka siasa kama extension ya biashara zake na kua karibu na wakubwa wanaotawala na mfumo mzima wa utawala..hamna kingine zaidi ya hilo

Ndani ya CCM watu kama Mbowe wako wengi tu na ndiyo maana kila maamuzi hadi ya Bunge hayaendi mbali .Jana wamelia sukari lakini boss Mo Dewji ndiyo zake hizo .Wako wengi sasa ukimshambulia Mbowe bila ya ushahidi wa biashara zake na siasa nitashangaa .
 
mbowe ni janga la taifa hili, ni mzinzi na ni mharibifu mkubwa

Mtaweweseka sana mwaka huu,MBOWE NI M/KT CDM NA CDM BADO IPO IMARA.poleni sana magamba na mikakati yenu michovu ya kuua cdm.nawapa pole pia hawa masalia kwa kuendelea kutumika kama ndomu.CHADEMA 4 LIFE
 
Machanga unaweza kuweka hapa message nzima yenye kila kitu badala ya haya maandiko ambayo unaweza kutengeneza tu ? Kama ni mail ina maana unayo sasa unaweza kuiweka nzima nzima tupate ukweli ? Au haya ni maongezi kwa njia ya sms ? Pia kama wewe umeipata it means inapatikana hadi kwa aliye tumiwa .Je unaweza kuweka kila kitu kwa uwazi kuthibitisha usemayo ?
 
Dah.... uongo ukivuma sana huaminiwa.

Tumekuskia kwa hii thread utapata gawio kubwa leo kupita wote pale lumumba.

Kwahiyo umeweka namba ili tukupigie uje tukuuwe au ni ujinga unakusumbua msakatonge.

MESEJI YA MBOWE HII HAPA.
------------------------------------------------------
‘’bwana kabunju, salaam. Rejea Mazungumzo yangu kuhusu Mhe.Joyce Mukya ambaye yuko safarini. Nitashukuru akibadilishiwa booking yake aweze kuondoka New York Tarehe 1 Dec siku ya Jumaapili kurejea Dubai na Kuunganisha Dar Tar3Dec. Mbowe,KUB.Cc Mhe.Joyce Mukya’’

--------------------------------------------------------
DAH. HII NI FEDHEHA YA AINA YAKE, na haya ndio yanayoitwa matumizi mabaya ya Madaraka, sijui kwanini Tunaoa ikiwa hatuwaheshimu na kuwajali wake zetu mbele ya jamii. pole sana mhasherati mbowe. tutaendelea kuambizana ukweli tu.

Habibu mchange
0762178678
 
Mbowe hana Dira -Mzee Mwanakijiji

Plani A ya kuua watu kwenye mikutano ilishindikana,ikaja plan B ya kesi za ugaidi nayo imefeli,mkaja na mkakati wa kuyatumia mapandikizi yenu nayo imefeli wametoswa,naona mmekuja na plan D ya kukashifu viongozi nayo itafeli tu na hapo ndo 2014 itakuwa imefika na tutawakamua tu.CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU kila mbinu ovu lazima ifeli tu!
 
Dah.... uongo ukivuma sana huaminiwa.

Tumekuskia kwa hii thread utapata gawio kubwa leo kupita wote pale lumumba.

Kwahiyo umeweka namba ili tukupigie uje tukuuwe au ni ujinga unakusumbua msakatonge.

Kaweka namba ili aliyefurahishwa na hii habari amtumie M-pesa aendeshe maisha. Hiyo ndio style yao ya kuishi mjini vijana hao wanaojiita graduates. Graduates my foot.
Hawana tofauti ya kuendesha maisha na wale waganga wa jadi wanaoweka vibao kwenye miti na namba za simu eti wanaagua. Ndiko wanakoelekea hawa watu.
 
Back
Top Bottom