Unafiki wa CCM, Magufuli Unatisha!

Mwaka jana kuna mbunge alimtukana Sana Uhuru, nakumbuka nilikuwa Nairobi wakati ule.
Uhuru akamjibu na kusema na hapa namnukuu, "Mimi ni baba wa familia yenye watoto mamilioni, watoto wote hao hawawezi kufanana tabia, kuna wengine ni vichaa, kwa hiyo ni kawaida tu " mwisho wa kunukuu.
Hebu mtukane Magufuli ukione cha moto.
ndo maana nasema, Uhuru ni rais smart kuwahi kutokea Africa.
Uhuru ni zungu!Hamaindi vitu vidogo vidogo!Kifua ya mwanaume!Respect Uhuru Kenyatta!
 
Asante sana, Na Kusema Ukweli Uhuru Kenyatta ni Rais Poa sana, anajiamini, watu wanajibizana naye anadebate nao kwa hoja kama Obama haweweseki Kama Magufuli Kukamata Watoto wadogo nao Kuwatia ndani ati wamemtukana Mitandaoni. Magufuli kuna maeneo Machache sana yuko Poa, Ila kwa 90% ni Msanii, Sadist na Coward. Hafai kabisa kuwa Rais au Baba wa Nchi hasa nchi yenye kuhitaji assurance, comfort na positive direction. I personally don't hate him but I wish the day he took presidency was never in the calendar!
point
 
Kuna ushabiki mwingine ni laana kabisa, eti tuli hack, huwa hamkosi Sababu nyie.
Kwani hata Kama computer zenu zikiwa hacked na msijue na zikaonyesha kuwa mmeshindwa, mtakubali kuachia madaraka nyie Kwa hiari?
Police ndo tume yenu.
Kuna ile siku uhuru alimchachia Obama waziwazi kuhusu maswala ya Ushoha ndio nikamkubali zaidi.
 
Kwa jinsi wakenya walivyo na ukabila hawawezi ruhusu mjaluo(asiyetahiriwa) kwa mtazamo wao awaongoze wakikuyu...
 
Waachen wakenya wachague rais wao cmpend huyu nampenda huyu inakuhusu nn mtanzania fanya kaz upate rizki achen umbea
 
Kazi ya shetani ni kuharibu ustawi ktk jamii, kuumiza, kuchafua na mabavu. Ukiona chama au kikundi cha watu kinaongoza kwa udhalimu, wizi, kukandamiza, uonevu na mabavu BASI YULE MWOVU YUPO PAMOJA NAO.
 
Sina shaka na misimamo ya ndugu zangu wakenya.......Japo nimezaliwa st.Paul's Homabay na kuishi Nyalenda A. Kisumu, sijawahi kuwa na imani na RAO hata siku moja...... Uhuru anatosha sana kwa uraisi. Si Kenya tu bali East Africa.
 
Acheni Siasa za chuki kwa Raila,Raila urafiki wake na Magufuli hauna uhusiano wowote na mambo ya kidemokrasia ,Raila ndiyo baba demokrasia Kenya

Kapigania mpaka Kenya wamepata katiba mpya
Kapiga nia mpaka viongozi wa tume ya uchaguzi wa Kenya iebc wameondolewa

Kaweka msukumo mpaka Leo Kenya wanasiasa za majimbo kitu ambacho hakikuwepo

Uhuru unaemsifia kajaza kila post kabila lake
Kwa mfano
1/spika wa bunge wa Kenya mkikuyu
2/mwasheria wa Kenya mkikuyu
3/mwendesha mashtaka mkikuyu
4/gavana wa benki kuu Kenya mkikuyu

Wako wengi sana na kabila la uhuru ndio imeharibu Kenya ,Kenya kuna kabila 43 lakini ni kabila Wakikuyu ndo wanatoa marais hiyo ni sawa kwa nchi inayofata demokrasia ? Rais wa kwanza Kenya Jomo Kenyata mkikuyu,Mwai Kibaki mkikuyu,uhuru Kenyata mkikuyu ,hata rais moi aliingia kwa bahati mbaya baada ya Mzee Jomo Kenyata kufariki kwakuwa alikuwa makamu,urafiki wa Raila na Magufuli haumwondelei Raila sifa ya mpiga nia demokrasia Kenya .
 
MWANZO NILIMKUBALI SAAAAAANA RAILA KUPITA KIASI ila baada ya kumuona yuko pamoja na mzee kipara kwa sasa niko timu UHURU.
 
Ingawa Nimehoji Unafiki huu, Bado sikubaliani na Madai ya Dualle Kuwa Parallel Tabulation Center lengo lake ni Kuhack matokeo ya Uchaguzi. Bali ni njia nzuri ya Kuzuia Msiibiwe Kura! Mimi hoja yangu ni kulalamikia huo unafiki wa Kupora za UKAWA lakini USIMIKA za Raila Tanzania!
Una akili sawa na panya buku ambayo ktk karne hii haielewi tofauti kati ya election based on issues rather than on individual personalities ya uhuru na raila.

Ungekuwa na akili kidogo zaidi ya panya buku ungeweza kujua na kutofautisha stands za raila na uhuru on variety of issues and policies.

KImsingi km una akili ya binadamu wa kawaida you cannot start thinking comparisons involving raila and the rest, differences are simply beyond day and night.
 
Acheni Siasa za chuki kwa Raila,Raila urafiki wake na Magufuli hauna uhusiano wowote na mambo ya kidemokrasia ,Raila ndiyo baba demokrasia Kenya

Kapigania mpaka Kenya wamepata katiba mpya
Kapiga nia mpaka viongozi wa tume ya uchaguzi wa Kenya iebc wameondolewa

Kaweka msukumo mpaka Leo Kenya wanasiasa za majimbo kitu ambacho hakikuwepo

Uhuru unaemsifia kajaza kila post kabila lake
Kwa mfano
1/spika wa bunge wa Kenya mkikuyu
2/mwasheria wa Kenya mkikuyu
3/mwendesha mashtaka mkikuyu
4/gavana wa benki kuu Kenya mkikuyu

Wako wengi sana na kabila la uhuru ndio imeharibu Kenya ,Kenya kuna kabila 43 lakini ni kabila Wakikuyu ndo wanatoa marais hiyo ni sawa kwa nchi inayofata demokrasia ? Rais wa kwanza Kenya Jomo Kenyata mkikuyu,Mwai Kibaki mkikuyu,uhuru Kenyata mkikuyu ,hata rais moi aliingia kwa bahati mbaya baada ya Mzee Jomo Kenyata kufariki kwakuwa alikuwa makamu,urafiki wa Raila na Magufuli haumwondelei Raila sifa ya mpiga nia demokrasia Kenya .
Tatizo bongo mijitu mingi ni mabogus, Kenya iko mbali sana na Tz na yote ni kwa sababu ya harakati za raila na wengine
 
Mtoto wa Raila alikuwa na January hata kwenye tabulation ya matokeo ya CCM sasa anadhani wataweza kufanya tena walichofanya.. UHURU ana akili nyingi, mnooo.. Yaani Raila asahau kuwa Rais wa Kenya.. Atabakia kulialia kila siku. Na mwaka huu atapigwa katafunua, ya karne

You sound exactly like mwanachama wa chama fulani hapa Tanzania! Wala huzijui sana siasa za Kenya kwa hiyo acha kujiapiza na maneno kama "Asahamu kabisa"...... Kama unalinganisha siasa za Kenya na Tanzania basi you are very wrong.
 
Zamani nilitaka Sana Raila awe rais Wa Kenya.
Lakini nilipobaini ana urafiki mkubwa na mtu katili kabisa Tanzania, nikaanza kumchukia, Raila hatashinda urais hata iweje, Uhuru ni moja ya marais smart Sana kuwahi kutokea Africa.
Kama Raila anajidanganya kusaidiwa na rafiki yake huyo katili basi akae akijua kuwa, Uhuru keshajua mbinu zao zote, na Uhuru keshajiandaa kumsaidia Mamvi Kwa kumpatia technic zote za ushindi.
mkuu heshima kwako. Bado unaishi ilogu
 
Mwaka jana kuna mbunge alimtukana Sana Uhuru, nakumbuka nilikuwa Nairobi wakati ule.
Uhuru akamjibu na kusema na hapa namnukuu, "Mimi ni baba wa familia yenye watoto mamilioni, watoto wote hao hawawezi kufanana tabia, kuna wengine ni vichaa, kwa hiyo ni kawaida tu " mwisho wa kunukuu.
Hebu mtukane Magufuli ukione cha moto.
ndo maana nasema, Uhuru ni rais smart kuwahi kutokea Africa.
Na wazazi hutofautiana pia,kuna wengine wapole na wengine wakali. Na hivyo vitu viwili vyote vina umuhimu namaanisha upole na ukali.
 
Kenyan Wako serious sana na mambo Yao I admire the SGR huku kwetu kila Siku ni kelele tu mara Serikali itajenga Reli mara Zuma tusaidie hela in Eerthing Concerning Maendeleo hawa Jirani zetu wako miles Away From Us.... I used to Like Raila hasa baada ya kupokwa Ushindi kwa Nguvu 2007 but I came To Realize UHURU is A man to Lead the Nation for other 4 years
 
Mleta mada Habari za hivi karibuni na ambazo zipo hapa JF zinasema ni Kambi ya Raila Odinga inayolalamika kuwa Kambi ya Uhuru Kenyatta ndio wanaweka kituo hicho Tanzanzania. Unatuchanganya unaporipoti kinyume tena tupe usahihi wa taarifa yako!!!
Soma kiambatanisho, angalia video. Kama una habari tofauti iweke tu hapa mkuu!
 
Back
Top Bottom