TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Magufuli na CCM Mwaka 2015 Walikwapua Urais Kwa kunyang'anya Computer za Ukawa zaidi ya 60 zilizokuwa zikitumika Kufanya Parallel Tabulation Mfumo ambao ndio mwaka 1994 Ulitumiwa na Waangalizi wa Kimataifa SA kuhakikisha Hakuna wizi au Kufinya Kura. Mfumo wa uhesabuji kura ulio bora kuliko yote Duniani. Mfumo uliomwezesha Nelson Mandela Kushinda Urais SA.
CCM kwa Kutumia Vyombo vya Dola walipora Computer sio tu za UKAWA bali hata na za Taasisi nyingine za Kiraia waliokuwa wakiangalia Uchaguzi Mkuu.
Swali Langu Ni kuwa Kama Kitendo cha UKAWA kufanya Parallel Tabulation Kilikuwa ni Dhambi? Kwanini CCM hawa hawa na Magufuli Huyu huyu anawasaidia ODM na Raila Odinga Kusetup Kituo cha Computer cha Kufanya Parallel Tabulation Uchaguzi wa Kenya wa mwaka huu 2017. Kwanza ni Tabia chafu ya Kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi nyingine.
Binafsi sina shida na Raila Lakini kwa Kuwa Raila ni Rafiki wa Magufuli nataka Raila Odinga na Kalonzo Musyoka washidwe Vibaya. Ni Bahati mbaya sana Kwani Nampenda Uhuru Kenyatta lakini Makamu wake Willium Ruto Roho yangu haimtaki wala kumwamini. Raila akishinda Miaka 4 baadaye Ruto anataka agombee Urais Lakini Kwa mambo yalivyo na Watu wavyomhofu ni bora awachane na mawazo hayo! Sidhani itakuwa salama kwake. Some in Jubelee may find him too much of a threat! Hayo ni maoni yangu. Nevertheless I was not born yesterday!