UNAFIKI unatawala Bavicha...

Status
Not open for further replies.
Slaa na Genge lake Maji yamewafika kwenye Mustach anakimbilia kufunga Mjadala, Hili ni Jipu la Kwapa halifichiki
 
Maziwa yanatolewa na ng´ombe, lakini ukienda kuulizia maziwa buchani watu watakushangaa.

Mipasho, just as I expected, you're not even an inch better... conforming to each one's standards..
 
Utafanyaje uspy pasipo regulations? Lazima ziwepo regulations za kumbana spy ili asimchochee anayemspy kufanya makosa ambayo kimsingi mpelelezwa hakua na dhamira ya kuyafanya. It was a dirt mission.
 
!
!
kiuamnifu kabisa nimechoka kusikia habari za chadema jamani, khaaaaaaaaaaaaa kila thread chademaaa chadema chademaaa chadema loh aaaaah inatosha jamani
 
Unafiki ndani ya bavicha ulianza pale tu baada ya kupata mwenyekiti ambaye hakushinda kihalali.
 
Watu wengi wamekata tamaa. Hasa waliposikia kuwa Chadema walitaka watonywe ili warekebishe mahesabu!

Watu werevu wameshaanza kuachana na Chadema mmoja baaada ya mwingine.

Oooopppss...!!
Umeandika neno 'watu werevu'...!!
Watu werevu mpaka leo wanajiuliza, hivi hii meli iliishia wapi...??

Dr.Slaa hana authority ya kuzuia watu kujadili ulaghai wa Chadema.
 
Unafiki ndani ya bavicha ulianza pale tu baada ya kupata mwenyekiti ambaye hakushinda kihalali.

Dada jana 'nilikuona' kwenye sherehe za 'kuzindua' mkoa wetu.
Ulipendezaje...??

Hapo kwenye blue...

Wajinga ndio waliwaoo sema AAAMEEEN
Hivi kwa akili yako wanachokifanya hawa viongozi wako kama hiki kitenda cha NAPE ni ukweliiiiiiii???? na lengo ni nini hasa?
 
Dr.Slaa hana authority ya kuzuia watu kujadili ulaghai wa Chadema.

Hapo kwenye blue,
Muulize huyu jamaa hapa kwenye picha....
Alileta ulaghai bungeni, jasho ikamtoka pale shujaa Lema alipomwaga ushahidi hadharani..
 
Ni kweli kabisa.

Hata kile kitendo cha Lema kumpora Mwigamba kompyuta yake ni uvunjifu wa sheria.

Chadema hawaheshimu sheria za nchi.

Hasa Lema ndio mbumbumbu kabisa wa sheria. ndio maana mara nyingi anaishia mikononi mwa vyombo vya dola halafu anawadanganya misukule yake kuwa anaonewa na serikali.
 
Uko nje ya hoja.

Tunajadili unafiki wa bavicha kuunga mkono mikakati ya siri ya Dr. Slaa na kuipinga mikakati ya siri ya mwanazuoni Kitila...

1. Unamaa Pinda mnafiki kwa kumuunga mkono Radhani Ighondu kutendea madhambi Ulimboka?

2. Unamaana serikali ya ccm ni ya kinafiki kwa kuamua kumficha Ramadhani Ighondu-Usalama wa taifa kwa kutesa na kujeruhi ulimboka?

3. Unamaana serikali ya ccm ni ya kinafiki kwa kulifungia mwanahalisi kwa kuweka hadharani madhambi na utesaji wa usalama wa Taifa (Ramadhani Ighondu) kwa ulimboka.

4. Unamaana serikali ya ccm ni ya kinafiki na kikwete pia kwa kumpandisha cheo

i. Andengenye baada ya kuamuru mauwaji kwa raia wasio na hatia Arusha?

ii. Kamuhanda baada ya kuamuru mauwaji kwa mwandishi wa habari kule nyororo iringa

Hebu fafanua tafadhali..............

Narejirea maswali yangu kwako na sio niko nje ya mada jadili na leta majibu sahihi kwa maswali haya hapa chini kulingana na hoja yako hapo juu. Acha majibu ya kitoto au nimmoja wa waliohitimu chini ya kawambwa na Mulugo?

Hapo kwenye blue,
Muulize huyu jamaa hapa kwenye picha....
Alileta ulaghai bungeni, jasho ikamtoka pale shujaa Lema alipomwaga ushahidi hadharani..

Lema ni shujaa wa nini? misukule mnalaghaika kirahisi mno.
 
Hasa Lema ndio mbumbumbu kabisa wa sheria. ndio maana mara nyingi anaishia mikononi mwa vyombo vya dola halafu anawadanganya misukule yake kuwa anaonewa na serikali.

Ispokuwa mzee wa video za uzushi yaan bwana Mwigulu madelu nchemba Je amshatoa ushahidi kwenye mahakama ya mungu?
 
Mmmmh kwani hata kama wewe huwa unaongoza kwa matoke darasani
Siku ukifeli
Unataka ufaulishweeee

Tueshim maamuzii
 
Hasa Lema ndio mbumbumbu kabisa wa sheria. ndio maana mara nyingi anaishia mikononi mwa vyombo vya dola halafu anawadanganya misukule yake kuwa anaonewa na serikali.

Lema is a natural disaster...
 
Lema ni shujaa wa nini? misukule mnalaghaika kirahisi mno.

Muulize Anna makinda kwanini amekalia ushahidi wa jinsi Pinda alivolidanganya Bunge na watanzania kwa ujumla wake

kuhusiana na mauwaji ya watanzania wasio na hatia Mjini Arusha?
 
Umeandika ulaghai na uzandiki hebu uje ufute huu ugolo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…